Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

January hawez kutoka yule.. prof na prof na dr hawa wanaweza.. ukizingatia prof kaingia ni mbubozi wa sheria
Sawa subiri uone.... January avuki mkuu.... Ujasikia kuwa yeye ndio anashirikiana na baadhi ya wafanyabiashara kumhujumu Rais?. Alianza hilo kwenye sukari, na saizi kwenye mahindi (chakula)
 
Neye atakuwa hana maamuzi Kama walivyo wengine.
 
Mkulu analipa fadhila tu wala usitegemee mapya mkuu
 
Wana jamvi

Salaam.

Ninawaza tu huenda Prof Palamagamba Kabudi awakateuliwa kuwa Waziri katika Wizara nyeti.hayo ni mawazo yangu tu
Sababu za mwenye kumteua kuwa mbunge hatuzijui.
Lolote atakaloamua ni sawa tu.
 
Pascal Mayalla ni ngumu kuwa objective kuhusu Dr Dau kwa sababu pamoja na usomi wake wote him mind is still clouded udini.
 
>>>>>Mkuu wa Kaya anapaswa kuwapa muda na Uhuru Watendaji wake ili watende....

¤Kwasasa watendaji hawaijui kesho yao..... Kila mmoja ana wasiwasi kuwa muda wowote "Kinanuka"....

>>>>>Mkuu wa nchi anapaswa kujua kuwa kutumbua kila wakati hakuna matokeo chanya kwa 100%..... Ingekuwa kutumbua ni njia sahihi, leo hii asingegitaji tena kutumbua kwakuwa wangekuwa wameshanyooka....


>>>>Nawatakia Kabudi na Bulembo uteuzi mwema... Nawatakia kila la kheri ktk kuitumikia "Mama Tanzania".
 
Kweli, watateuliwa wenye elimu nzuri lakini hawatafanya lolote.

Kwa mfumo wetu wa uongozi, serikali ni RAIS.

Ameshatoa picha ya yeye ni kiongozi wa namna gani.

Hata afanye mabadiliko ya namna gani hatuendi popote.

Style yake ya Uongozi haipendi wala kuruhusu wengine kutenda..

It's a one man show..
That being the case.. Let's watch.
 
Pascal Mayalla ni ngumu kuwa objective kuhusu Dr Dau kwa sababu pamoja na usomi wake wote him mind is still clouded udini.
Udini? ebu acheni bhna.....umewai fanyakazi.national.housing mkuu ..staki nseme.....na wala Sita sema...
eti udini....jamaniiii....mnalalamika Sana....kimbukeni.....
 
Hawa academicians hawana lolote linapokuja suala la utendaji.. . Yuko wapi Dr Ayubu Rosa... And kwa academician ambaye yuko smart angekataa hz teuzi za St John, for itabidi uchezezi sindimba ya mbele kwa mbele... Ni Ile Ile... Ukiwa kichwa ngumu uteuzi wako unatenguliwa... Nadhani ndio maana hata Ayubu amesoma alama pale TBC...
 
Udini? ebu acheni bhna.....umewai fanyakazi.national.housing mkuu ..staki nseme.....na wala Sita sema...
eti udini....jamaniiii....mnalalamika Sana....kimbukeni.....
Ohh yes Pascal.mayala.ni mdini. Sielewi how a person with such brilliant mind akachotwa na udini kiasi kile.

Hao ndio wasomi wetu
 
Back
Top Bottom