Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hayo maswali yako AJ... Naona limejibiwa vizuri saana hapa chini na Kaizer kwa Urefu kabisa..... Ingawa illo la pili kwa Tanzania yetu hii bado haijafanikiwa..
Kaizer Asante for this post na a deep insight umetoa.... I like it for the simple reason kua umeweza orodhesha baadhi ya Matukio muhimu ambayo yana paint vilivo uongozi toka Uhuru mpaka tulipo sasa hapa Nchini kwetu.... Maelezo yako hapa yananifanya nikumbuke Kitambu cha Animal Farm ambacho Bishanga kanitajia hapo juu Yaani yaweza enda sambamba kabisa na Synopsis ya hio hadithi . A great book with Great analogies and beautifully put hasa kuhusiana na Watawala Vs Watawaliwa . Na the way hao watawaliwa huwa wakipata nafasi hio ya Utawala; and how inevitably hugeuka kama Watawala wa Kwanza kabisa ambao waliwatoa kwa nguvu zoote ama kua hata Worse!!
The events you have provided imekua ni vielelezo tosha kabisa ya kuweza gusia pale mimi, Mkandara na Azimio tulipozungumzia swala zima la TRUST . Hivo basi tukiliangalia saana hili suala kwamba toka Uhuru kumekua na such events . Sio ajabu kua tuna hali mbaya kama Uongozi umeadapt each and everything kwa the so called Oppressors wa kipindi hicho mpaka kutufanya tugombee Uhuru.
Hii yaweza kua na Mionekano miwili .
- Pessimicism; Kua we are doomed kwamba what ever way we look at our future it is bleak for Viongozi woote wako hivo na kama ulivo ongea wee na EMT, Kwamba Viongozi hubweteka and once in power they do not care ni nini wanafaya kwa Wananchi hivo kuwafanya wajisahau or kutojali kilichowaweka pale.... ama tu kushindwa Uongozi.
- Optimistic; Kwamba there is hope . Kwamba the solution ni kwamba Ikitokea tu kwamba Chama kingine kikashinda kikija na sera zake mpya na Uongozi mpya then everything will be OK . (Thou a day dream); Suala ambalo siamini kabisa... na suala ambalo fellow Tanzanians inabidi walitambue mapema.....
Hio in color if you dont mind Naomba maelezo yake in brief for that is news to me .
Dear,,,nadhani huku JF kuna thread au maelezo ya kina ya nini hasa kilitokea, ila kwa wakati huu, nadhani hii kutoka Wikipedia itakufaa wakati tunaangalia vyanzo vingine ila msingi wake mkuu ni kama huu
The formation of the TPDF was a result of the disbandment of the Tanganyika Rifles after a mutiny in 1964. Soldiers of the regiment mutinied on January 1964. The Mutiny began in Colito barracks in Dar es Salaam, then spread to Kalewa barracks in Tabora with Nachingwea, a new barracks, following suit. The mutiny was over pay, promotions, the removal of British officers and Africanisation. Julius Nyerere conceded that the "soldiers had genuine grievances and the demands presented a perfectly reasonable case." However, he could not tolerate a mutiny. The mutiny raised questions about the place of the military in the newly independent Tanganyika a military under a foreign command and not integrated into the countrys system. After the mutiny, the army was disbanded and fresh recruits were sought within the Tanganyika African National Union (TANU) youth wing as a source.
Chanzo: Tanzania People's Defence Force - Wikipedia, the free encyclopedia
