TREND YA AFRICAN POLITICS. Historia Itajirudia Tanzania?


Dear,,,nadhani huku JF kuna thread au maelezo ya kina ya nini hasa kilitokea, ila kwa wakati huu, nadhani hii kutoka Wikipedia itakufaa wakati tunaangalia vyanzo vingine ila msingi wake mkuu ni kama huu


Chanzo: Tanzania People's Defence Force - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mkuu, nakuunga mkono kwa sehemu. Lakini nahisi ccm wamechungulia kilicho tokea Ghana wakati wa JR Ndio sababu wana hofu ya kuachia madaraka Kidemokrasia! Nionavyo mimi kilicho tokea Ghana kinapiga hodi hapa TG/TZ, Tuombe uzima muda utasema!
 
Thanks dear.... I see i have some reading and digging up to do. Appreciated.

Bi Asha naona tumepewa homuweki,haya bana ngoja tukabukue,mwenzangu kibatari chako vipi kina mafuta ya kutosha,maana umeme huu wa tia maji tia maji radiator imekauka!
 
=AshaDii;2601052]Hayo maswali yako AJ... Naona limejibiwa vizuri saana hapa chini na Kaizer kwa Urefu kabisa..... *

You are many times ..very right ... But what did you say ..? The people/community of this country has never ever in the history of mankind tasted or*experienced any kind of TRUST from at least their Leaders and v.versa ...?

I stand to be corrected! ... I think the level of TRUST in this county has never ever gone this Low ... That means what? ... We had some substantial QUALITY TRUST in the past ... and am concerned on how it was possible to be demolished to amount*what*we are*experiencing*NOW!*Of course*this will take us*back*to what Kaizer *...*

Which gives us the*ticket*to go *forward*to try to reach to any reasonable solutions ..see below!

ADii bado nauliza ... what is the way out of this Dilemma? *AU hakuna namna mambo yanaweza kutengenezeka na kusonga mbele kwa uhakika wa namna fulani..?*Nimekuwa na mapendekezo haya tangu awali ....



Remember life*didn't*stand still because there is this dilemma*griping*the whole society ... so .. What is the way*forward..?

 
Azimio Jipya,
Mkuu wangu leo nakuja na kitu kipya yaani NENO LA LEO..nalo ni - UFISADI kama UKIMWI!

Nawaomba mlisome hili kwa makini zaid sana na kujiuliza kitu gani haswa kilichoondoa imani za watu na hata trust ikapotea utakuta kwamba kuenea kwa Ufisadi ni moja ya sababu kubwa sana na unaambukiza kama Ukimwi. Utaweza vipi leo hii kumwamini mwenza ktk maswala ya ngono ili hali kuna gonjwa la ukimwi!... Vivyo hivyo nchi zetu toka tumeinga utamaduni wa nje ktk uchumi wetu umekuja na gonjwa hili la Ufisadi ambalo sii rahisi mtu kumwamini hata kiongozi wako kwa sababu hujui kama ni mwathirika. Na kwa bahati mbaya waathirika nchi za dunia ya tatu ni wengi kuliko Ulaya na tunazidi kuathirika na Ufisadi.

Na imefikia mahala watu wote wamekubali matokeo, leo hii pamoja na vifo vingi vya Ukimwi wananchi bado wanaendeleza ngono na wachache wachoweza kufanya ni kinga. Watu wameshindwa hata kuaminiana ktk ndoa na vivyo hivyo ktk utawala maanake hujui nani mwenye Ukimwi na mwenye ukiwi haogopi kuambukiza isipokuwa kutumia nguvu ya fedha kujinadi kama President, Director, General (PEDEGE) na akasifiwa ktk maclub ya pombe na kupendwa sana. Na vivyo hivyo ktk maisha yetu hatuaminiani isipokuwa kwa kinga kila mtu anajikinga yeye ktk mahusiano yoyote kwa sababu trust imeondoka tokana na Ufisadi. Na huwezi kumlaumu wala kulaumiwa bali unapongezwa kwa kutumia kinga!

Viongozi wote wa kiafrika wanachokifanya hakina tofauti na maambukizi ya ukimwi, wanajinadi sana na kuonyesha uwezo wao mkubwa wa kugawa utajiri lakini kilichofichika nyuma ya pazia ni hili gonjwa la Ufisadi na kwa bahati mbaya kila anayekuja hutuambukiza ktk Ufisadi na kutuweka ktk umaskini zaidi...

Mwisho, tujiuliza hivi kweli kati yetu kuna mtu anaweza kuweka trust ktk maswala ya ngono? wachache sana kama sii kwa wenza wetu na inabidi tufanye hivyo kama tunavyojaribu kuwapa kura wale ambao tunafikiria ni wazima. Kwetu sisi utawala bora sii swala la uwezo wa kuleta maendeleo tena bali tunamwamini vipi kiongozi ktk UFISADI na hakika nchi za kiafrika ambazo zinapiga hatua ktk maendeleo ni zile ambazo kiongozi wake amekuwa msafi wa Ufisadi, ameupiga vita na pengine hajaambukizwa lakini kama Mkapa akisha ambukizwa basi atakalolifanya ni kuhakikisha hafi peke yake..
- BILA UFISADI INAWEZEKANA kurudisha Trust!
 
You got to pity an African for his thinking and the way he addresses his problems. Nimejaribu kuifuatilia hii thread up to page three then i got bored. Reasons being an Africans seem to think life is to be understood through history, nothing wrong with that. But then the emphasis on historical wrong especially past leaders who did not perform is too much and i for once believe that is not core of our problems today. You learn through your mistakes and change the way those mistakes occurred in the first place. Therefore if the president had too much power its those power you aim to remove or else anybody given the same opportunity is bound to repeat the same mistakes. All those examples 'Asha Dii' highlighted are a confirmation of the argument.

Nations that gave hope to its people by overhauling the ruling parties or got rid of the so called bad government went to repeat the same problems. For that matter its about time Africans learnt its not who they elect into office or what political parties are promising will ever bring the right changes in the continent.

Until people start talking about a constitution that will work and not just demanding for one only after loosing an election. If we demand for changes for the right reasons that aim to benefit everyone in the society, then it becomes a clear case. I truly believe Africa's bad leaders are a product of poor and a lax governance systems we ourselves allow to go on and on and on and ....... therefore we should not be surprised of the repetitive course we embark on.
 
U said all... this is the fact behind all misery!
 

Mkuu Mkandara*

Nafikiri Mimi nimekuelewa sana.

Na nikuelewa kwani Ukiangalia kuna mahali nimejibu AshaDii kuwa Kuna wakati taifa hili lilikuwa na afadhali. Kuaminina kati ya Viongozi na WanaoOngozwa kulikuwepo hata kwa kiwangofulani, lakini sasa hali ni mbaya zaidi.

Umekuja na analogy *ya Ugonjwa amabo kwa kweli uko very tricky , vigumu sana kumuamini au kuaminiana...wakati mwingine ni kukubalina kiutu uzima tu, kwani sasa tufanyeje.. Kuwa na Trust ya 100% si rahisi. Kwa kuwa jamii ni moja mtu yule yule aliyepoteza TRUST ya kimahusiano na mwenzie hawezi kusema atairudisha inapokuja Swala la Kisiasa na haswa UFISADI.

Unasema Jeuri ya kuundoa UFISADI ndiyo inayoweza kurudisha TRUST na kubaliana sana tu!!

Swali Kipi kinaaza kuondoa chenzake?
 

Mkuu kwenye hao 'people' si na wewe umo? tafakari ...chukua hatua...
 
Mkuu kwenye hao 'people' si na wewe umo? tafakari ...chukua hatua...

Mkuu Bishanga,

Nafikiri umeona jambo kubwa na la muhimu, kwa haliiyopo sasa hivi.. ni nini hasa kifanyike na nani afanye na kwa msukumo upi?
 
Aizimio Jipya,
Kusema kweli swali hili gumu sana ukilifikiria juu juu kwa sababu tunashindana na hisia za binadamu. Lakini nadhani Eric Cartman katuonyesha pa kuanzia kwa sababu nimefikiria sana kwa nini Ukimwi umepigwa vita nchi za Ulaya kiasi kwamba leo hii ni kama vile hakuna gonjwa hili ingawa lipo. Pia tufikirie wakati wa Nyerere tuliweza vipi kupambana na kipindupindu (ingawa sii gonjwa la matamanio) hadi tukaweza kufanikiwa kukiondoa kabisa ingawa pia kimerudi tena. Hivyo, mapambano huanza toka ktk Uongozi bora na maana ya uongozi bora ni pamoja na kuwa na ari ya kufanya maamuzi yenye kulinda, kukinga kupambana na adha kama hizi.

Hivyo kinachotangulia ni dhidi ya Ufisadi na siii mafisadi kwa kuweka mazingira ktk hali ya vita against gonjwa hili. Hao walofanikiwa, wakati wote serikali zao ziliyaweka mazingira ktk hali kivita, zimekuwa mstari wa mbele kupambana na maradhi haya kwa nguvu zote, zimechukua muda na fedha nyingi kupambana na maradhi haya toka vyanzo,virusi, ktk kuboresha mazingira na kuhakikisha huduma bora zinapatikana ktk kuwaelimisha wananchi, kinga na tiba kwa waathirika zinapatikana karibu na bure kama sii bure. Serikali zimetangaza vita na kuyaweka mazingira ktk hali ya alert! Pendamic na mapambano yakachukua nafasi ya juu kabisa, kama vile serikali ikitangaza vita basi sisi wananchi hatuna sababu ya kubakia nyuma bali kujiandaa na kufuata mazingira hayo. Kwa hiyo uongozi bora ndio tuloukosa, na hatutaweza fanikiwa ktk vita hii kama tutafikiria kwamba hili ni jukumu na swala la wananchi raia wenyewe kwani Somalia ilivyoharibika leo, wale wananchi raia wake hawakuwa na hawatakuwa na uwezo wa kubadilisha mazingira yaliyopo bila kupata viongozi bora na hakuna msomi yeyote anaweza kunambia makosa yapo kwa raia Wasomali..

Sasa maadam serikali yetu haiwezi na imeshindwa kabisa kupambana na Ufisadi kama tulivyoshindwa kupambana na Malaria basi jibu lipo machoni mwetu, hizi sababu nyingine zote ni kwamba tunatafuta mchawi tu, tusitegemee kabisa kwamba wananchi wanaweza vita hivi dhidi ya magonjwa haya pamoja na kwamba wapo viongozi na wanasiasa wanafikiria kwamba hili ni jukumu la wananchi. TRUST haipo ama inaweza kuwepo tu kama tutaweza kuhakikishiana salama, na kama ilivyo HESHIMA, trust is not demanded but earned! hivyo jukumu la kuirudisha trust ni letu sote na kila mmoja wetu ataaminiwa kutokana na yeye mwenyewe ku value trust. Kama mtu huwezi kujiamini wewe mwenyewe kwa sababu huthamini trust, utaweza vipi kuaminiwa!
- MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO ni pamoja na kutokuwa na trust, kutothamini trust isipokuwa royality inayotokana na fikra za kitumwa wengi wetu ndio huihusisha na trust..
 


Mkuu angalia siasa zilivyo kama mapenzi....mtafanyiana yasiyofaa na kuvumilika ila kitu kinachoitwa muda ni dawa nzuri sana ya kusahauliza yaliyopita....yes....alihusika na ufisadi, hata kama sio directly but alihusika na soon watu tumeshasahau....tutamchagua kama watamteua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…