Trend ya single mothers wasomi kuwa na mtoto moja pekee, ni athari gani mtoto hupata akiwa hana kaka, dada ama mdogo wake.

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Na hii nimeifanyia research kutoka kwa mabinti wengi waliohitimu chuo, wapo wengi wana mtoto moja tu huku baba akiwa hayupo aidha kwa ndoa kuvunjika (ni kawaida kwa mabinti wasomi) ama walizaa kabla ya ndoa baba kala kona.

ni effects zipi mtoto anapata akiwa hana dada kaka wala mdogo wake ?
 
Wasomi uchwara hao hawajui hata sentensi moja ya kingereza na wengi walipewa Mimba kwa offer za bia
 
Ushasema single mother. Unataka tena azalishwe. Atalea vipi endapo bado anajitafuta. Wengi huwa wana mtoto mmoja kwasababu wenza wao waliowaamini hawapo tena. Mtu ana mtoto kaachwa unataka apate mtoto tena? Wanajipanga. Na kua na kigari au kazi si maana ndio azae tu. Wanatafuta stability.
Swala la pili, effect kwa mtoto. Hakuna effect, mlee mtoto vizuri. Childhood plays ashiriki, na kusoma asome vizuri, then you are good. Hata uwe na watoto wengi, kama kuna idle environment utawaumiza tu.
 
Na hii nimeifanyia research kutoka kwa mabinti wengi waliohitimu chuo, wapo wengi wana mtoto moja tu huku baba akiwa hayupo aidha kwa ndoa kuvunjika (ni kawaida kwa mabinti wasomi) ama walizaa kabla ya ndoa baba kala kona.

ni effects zipi mtoto anapata akiwa hana dada kaka wala mdogo wake ?
Uwezekano mkubwa ni kwa mtoto kuwa mbinafsi.
 
Hakuna effects zozote
Na hii nimeifanyia research kutoka kwa mabinti wengi waliohitimu chuo, wapo wengi wana mtoto moja tu huku baba akiwa hayupo aidha kwa ndoa kuvunjika (ni kawaida kwa mabinti wasomi) ama walizaa kabla ya ndoa baba kala kona.

ni effects zipi mtoto anapata akiwa hana dada kaka wala mdogo wake ?
 
Sahihi
Ushasema single mother. Unataka tena azalishwe. Atalea vipi endapo bado anajitafuta. Wengi huwa wana mtoto mmoja kwasababu wenza wao waliowaamini hawapo tena. Mtu ana mtoto kaachwa unataka apate mtoto tena? Wanajipanga. Na kua na kigari au kazi si maana ndio azae tu. Wanatafuta stability.
Swala la pili, effect kwa mtoto. Hakuna effect, mlee mtoto vizuri. Childhood plays ashiriki, na kusoma asome vizuri, then you are good. Hata uwe na watoto wengi, kama kuna idle environment utawaumiza tu.
 
Ushasema single mother. Unataka tena azalishwe. Atalea vipi endapo bado anajitafuta. Wengi huwa wana mtoto mmoja kwasababu wenza wao waliowaamini hawapo tena. Mtu ana mtoto kaachwa unataka apate mtoto tena? Wanajipanga. Na kua na kigari au kazi si maana ndio azae tu. Wanatafuta stability.
Swala la pili, effect kwa mtoto. Hakuna effect, mlee mtoto vizuri. Childhood plays ashiriki, na kusoma asome vizuri, then you are good. Hata uwe na watoto wengi, kama kuna idle environment utawaumiza tu.
Siku moja atakuuliza mama shuleni tumejifunza fimilia , je familia ni nn? Mbona ww huwa hulali na Baba Kama ilivyo Kwa akina flani.
 
Ila hii tabia sio nzuri yaani uzalishe mtu then unamuacha ..sio ujanja kabisa ni ujinga.

Kwa tatizo hamna kwani kila mtu ataishi kutokana na walivyo wala Haina athari
 
Nenda China ufanye case study. Miaka michache iliyopita, China ilikuwa sio ruksa kuzaa mtoto zaidi ya mmoja.
 
Kuwa na tabia ya uchoyo ni matokeo ya malezi lakini si sababu ya mtoto kuwa peke yake. Siku zote kile unachomfundisha mtoto ndicho anachokuwa nacho.

Nakumbuka mimi binafsi tulizaliwa wawili lkn mdogo wangu alikuja kuzaliwa mimi nishamaliza darasa la saba kwa hiyo ni kama maisha ya utoto nilikuwa mwenyewe. Mama yangu alichokuwa ananifundisha hakuwahi kutoa kauli ya hiki ni cha kwako,,ukienda sehemu yoyote kusalimia lazima atakupa maharage, karanga au chochote kupeleka kama zawadi. Kwa hiyo nikawa najua kumbe tunapaswa kuwajali wengine.

Nimekua mtu mzima binafsi siwezi kwenda kwenye mji wa mtu kusalimia bila kubeba chochote yaaan siwezi. Kama sina huwa naahirisha hadi nitapopata. Na isitoshe watu wanaonizunguka nawajali kwa moyo wangu wote,,hata kama nina kidogo hii imenijengea na kunipa familia ya watu ambao hatujazaliwa pamoja na kujaliiana kama tuliozaliwa.

Binafsi pia nimebarikiwa mtoto mmoja.ana umri wa miaka 4 sasa Najitahidi kumlea katika misingi ile ninapoenda kumnunulia kitu mfano pipi nitanunua mbili nampa moja namwambia hii mpelekee rafiki yako ,,kwa maana ya mtoto wa mpangaji mwenzangu. Hivyo anabeba anampelekea,, au wakati mwingine nikimnunulia kitu dada wa kazi nampa yeye aende akampe.
Imefika wakati hata kama nimejisahau kununua pipi mbili akifika yupo radhi ampe rafiki yake akija unamuuliza pipi iko wapi anakwambia nimempa fulani.

Si kwamba watu hawatamani kuzaa watoto wengi lkn unaangalia na uwezo wa kulea watoto hao. Na kikubwa ni kusimama tu kwenye malezi ambayo unatamani mtoto wako unatamani aje kuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuzae watoto tunaoweza kuwalea na kuwapa mahitaji yao ya msingi.
Kweli kabisa tuzae watoto tunaoweza kuwalea, haya ya kuwa na mtoto anamaliza darasa la saba hajachaguliwa shule ya serikali mzazi unabaki kusubiri second na third selection kisa mzazi huwezi kumudu ada ya private ni mambo ya kishenzi na kusikitisha sana
 
Ona sasa dunia inamuuliza huyohuyo mama aliyeachiwa mtoto, huku baba mtoto akiwa mahali na familia bora, 'malaika' aliyeoa mke na wana 'idadi nzuri' ya watoto watano.

Hawa watu wakigeuka makatili raia wa dunia wanashawashangaa tena.
 
Back
Top Bottom