Trend ya skin jeans kwa wanaume imezidi kwa sasa

Trend ya skin jeans kwa wanaume imezidi kwa sasa

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,415
wakuu

Nadhani sasa imefika pabaya au ni ushamba wangu wakuu? yaani saruwali za wanaume wanne kati ya kumi lazima ziwe zimebana miguu na zaidi hawavai soksi miguuni ni ushamba wangu au kisarawili kinabana mwili wote then chini kinaning'ingia na soksi havai sielewi kwa kweli ndio trend ya fashion?
 
black-skinny-jeans-men1.jpg
 
Mchepuko ,siyo kosa lako ,najua wewe ni wa mkoani kama mimi.

Dar ndio kila kitu,ujanja wote unaanzia huko.

Hiyo fasheni kwenu Ushetu huko mtaivaa 2020
 
Machalii wa Moshi na Arusha wanavaa viatu namba kubwa,nao vip?

Wanaume wa Dar nao wanatoka na wanawake namba kubwa,like Diamond,Jux,Kiba ,ni trend tu kubemenda nguo mpaka watu
 
wakuu

Nadhani sasa imefika pabaya au ni ushamba wangu wakuu? yaani saruwali za wanaume wanne kati ya kumi lazima ziwe zimebana miguu na zaidi hawavai soksi miguuni ni ushamba wangu au kisarawili kinabana mwili wote then chini kinaning'ingia na soksi havai sielewi kwa kweli ndio trend ya fashion?
Wanaume wa dar
 
Back
Top Bottom