Mswaki wa chuma
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 121
- 95
Ndio maana kila kukicha wanaume wa Dar wanapoteza nguvu za kiume kijingajinga kutokana na kuvaa nguo zinazobana zaidi misuli hadi inasababisha baadhi ya misuli kufa kabisa au kusinyaa,wanatumia vyakula vyenye kuzorotesha miili yao bila kujijua kisa usasa,wanapaka losheni zenye mchango mkubwa sana wa kuharibu mifumo yao ya ngozi hadi inapelekea kuharibu utendaji kazi mzuri wa miili yao kama wanaume,wengine wanajipulizia spray za ajabu.Jamani msikurupuke kila kitu kuiga tu,sisi wa mikoani kuvaa hivyo ni utovu wa nidhamuMiili yao inaruhusu,wanapiga mazoezi na wana six packs,mkoani unakuta mtu yupo irregular