Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Skin Jeans zinachora umbile la mwanaume kwa mbele,na wasichana wengi wa Dar wanapenda kuangalia maumbile hata kama yapo ndani ya nguo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaj mfawidh ktk ubora wakeMachalii wa Moshi na Arusha wanavaa viatu namba kubwa,nao vip?
Wanaume wa Dar nao wanatoka na wanawake namba kubwa,like Diamond,Jux,Kiba ,ni trend tu kubemenda nguo mpaka watu
Kuna tatizo gani? Labda kama una imani za dini, vinginevyo naona hakuna shida.wakuu
Nadhani sasa imefika pabaya au ni ushamba wangu wakuu? yaani saruwali za wanaume wanne kati ya kumi lazima ziwe zimebana miguu na zaidi hawavai soksi miguuni ni ushamba wangu au kisarawili kinabana mwili wote then chini kinaning'ingia na soksi havai sielewi kwa kweli ndio trend ya fashion?
Kama zangusuruali iwe saizi yake isipwae wala isi bane mapaja
tupiamo Tu picha nione basiKama zangu
Miili ya chipsi Mayai na nyama chomaMiili yao inaruhusu,wanapiga mazoezi na wana six packs,mkoani unakuta mtu yupo irregular
Ndio tabu ya wanaume wa Dar hiyo.... Suruali za vitambaa na Cadet zipo nzuri tu na za heshima ila wanang'ang,ania skin jeansshida ni pale lazima mtu aige kili kiingiacho hata kama hakimfai, ili mradi aonekane anakwenda na wakati. ni ushamba nadhani
hhapa hapa na wengine wafaidike
Kama mwanaume rijali atavaa hivyo, mwanaume shoga atavaa vipi?suruali iwe saizi yake isipwae wala isi bane mapaja