Trend ya skin jeans kwa wanaume imezidi kwa sasa

Skin Jeans zinachora umbile la mwanaume kwa mbele,na wasichana wengi wa Dar wanapenda kuangalia maumbile hata kama yapo ndani ya nguo.
 
Machalii wa Moshi na Arusha wanavaa viatu namba kubwa,nao vip?

Wanaume wa Dar nao wanatoka na wanawake namba kubwa,like Diamond,Jux,Kiba ,ni trend tu kubemenda nguo mpaka watu
Jaj mfawidh ktk ubora wake
 
Kuna tatizo gani? Labda kama una imani za dini, vinginevyo naona hakuna shida.
 
Hakuna imani ya dini ,wadada wanapenda kuona kama vile wanaume wanavyopenda kuona wadada wenye vimini na mapaja yao
 
Mi nachukia vikaptula vyao, kaptula sijui pence inaishia mapajani aisee, ndo maana watoto wengi wa kiume dar wanaharibika kwa kasi na ushoga.
 
shida ni pale lazima mtu aige kili kiingiacho hata kama hakimfai, ili mradi aonekane anakwenda na wakati. ni ushamba nadhani
Ndio tabu ya wanaume wa Dar hiyo.... Suruali za vitambaa na Cadet zipo nzuri tu na za heshima ila wanang'ang,ania skin jeans
 


Teh teh teh hizi fasheni hatari. Sitaki kujaji ngoja niweke hii picha hapa chini. Nafikiri Skin jeans zinawafaaa zaidi watu wembamba na wale walijengeka kimazoezi. Kam si hivyo ukivjivalia tu watu wanaweza tafsiri wewe ni mboga teh teh te
 
Mi napenda kuona wanaume wa dar awe kavaa skin jeans alafu kwa mbele unaona mjomba anavyoenda kulia kushoto.
Na wale wa suruali za kitambaa unaona ramani ya dushe na urefu,hasa vibamia wengi ndo wanavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…