Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah aah mkuu umeshatoa mikosi kwanza nimekupa like moja matata .wakianza kurusha mawe humu"... mimi simo aisee
mimi mikosi niitoe wapi mkuu " wakati najua kujishusha na ku-socialize nakila mtu humu".... mikosi huwa inawakuta wale wote wanaojifanya kuwa " wanavimbaAah aah mkuu umeshatoa mikosi kwanza nimekupa like moja matata .
Wakija natoka ndukiiiiiiiiiii[emoji2435][emoji2435][emoji2435][emoji2435][emoji2435][emoji2435][emoji2435][emoji2435]
Ngoja niwahi bahari ya hindi[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Nakukumbusha: mbao za mawe
kipenzi maeneo yetu si unayajua vizuri. nimekuham mamaNgoja niwahi bahari ya hindi[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Nani anakuficha siku hizi kipenzi changu?kipenzi maeneo yetu si unayajua vizuri. nimekuham mama
najiteka mwenyewe naogopa kurudi nyumbani mikono mitupu hutonielewa kipenzi.Nani anakuficha siku hizi kipenzi changu?
Nimekuham pia
Alisombwa na mafuriko ya kagera mkuu.
Anaitwa Frank kimario mzee lile jukwaa la magreat thinker Jamii intelligenceKuna new member alikuwa anapost karibu mada sita kwa siku.
Siku hizi kimyaa sijui alikua ameazima simu?
Jina la mawanzo silikumbuki ila linaishia na BOY.
Uhamiaji njooni huku. Kuna mteja wenu.Hahaaaa "... comred akili zako wewe "... haki vile king'amuzi kimeisha salio (kidding).... hiyo bars ya mwisho ulivyo malizia daahh ... nimecheka sana