TRENDING: Mkataba wa IGA tayari umeshalazimishwa uendelee, je u wapi Mkataba wa HGA?

Mkuu!

Mhimili uliojichimbia upo macho!

Wala usiogope mkuu!!


Hiyo November desemba,hadi 2025 si MPAKA ifike!!?

WAKATI utatupa majibu!hii Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,SIO mali Binafsi ya mtu afanye atakavyo!!

TUENDELEE kusubiri Mkuu!!
Novemba mosi kazi inaanza wewe endelea kuishi na majonzi moyoni.
 
Nani alikudanganya biashara huwa inanufaisha upande mmoja tu?

"Kula uliwe" - Kikwete.
 
Wana sucrifase their mistakes Tu, Ila support from external ni lazima
 
Nani alikudanganya biashara huwa inanufaisha upande mmoja tu?

"Kula uliwe" - Kikwete.
Makombo anayoyafaidi fukara hutoka mezani kwa tajiri.

Nimesema kuwa tusitegemee kufaidika zaisi ya mwekezaji. Anajitafutia yeye kwanza kisha ziada ndo anakugawia kiduchu

Rais na vyombo vyote vya serikali wanajinadi kuwa TUMESHINDWA KUSIMAMIA BANDARI KWA UFANISI..... yaani watanzania milion 61+ wote tufananishwe na kikundi cha watu wachache waliojimilikisha misingi ya Taifa letu? Hapana aisee
 
26 September 2023
Mombasa, Kenya
UKATA WA FEDHA WALAZIMISHA KPA KUINGIA MKATABA TATA, BANDARI ZA MOMBASA NA LAMU

Mkataba wa mwekezaji kuendesha bandari ya,Mombasa na bandari Lamu zote za nchini Kenya kuingiza mapato madogo. Kwa sasa mamlaka ya bandari Kenya KPA inaingiza kiasi cha US$400 milioni kwa mwaka.

Lakini inaonesha mkataba wa uendeshaji utaingiza US$300 millions kufuatana na kipengele mwekezaji aliihakikishia kuweza kuilipa KPA kwa mwaka na pia wawekezaji wameweka kipengele kuwa watapakua makasha 20 kwa saa wakati KPA inapakua makasha 24 hadi 26 kwa saa....

Mwekezaji amepewa mkataba wa kuendesha bandari hizo za Lamu na Mombasa kwa muda wa miaka 25.

Benjamin Tayari mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka za Bandari Kenya KPA ameongeza kuwa serikali kukosa Kshs.30 bilioni za kuwekeza gati namba 4 bandari ya Mombasa ni sababu ya kutafuta mwekezaji ili kuhakikisha gati namba 4 inaendesha kwa uwezo wake wote unaowezekana (full capacity), kwani kwa sasa gati hiyo inaendeshwa chini ya kiwango kutokana na ukata wa kununua vifaa vya kisasa n.k ...

 
Mkuu!

Mhimili uliojichimbia upo macho!

Wala usiogope mkuu!!


Hiyo November desemba,hadi 2025 si MPAKA ifike!!?

WAKATI utatupa majibu!hii Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,SIO mali Binafsi ya mtu afanye atakavyo!!

TUENDELEE kusubiri Mkuu!!
Nimecheka mkuu kwa sababu ukiwasikiliza viongozi wetu, ni kama Mungu kaondoa kauli vinywani mwao.

Mtu anakwambia kuwa Hangaya ndo pekee aliyepita vijijini.....

Nasubiri
 
Huu wa kuhamisha mali asili ulishwahi kuuona au kuuliza hata siku moja?:



By Janeth Mesomapya
President Samia Suluhu Hassan on June 11, 2022 witnessed the signing of the Preliminary Agreement of the Host Government Agreement (HGA) of the Liquefied Natural Gas (LNG) project.
The agreement was signed between the Government and Shell and Equinor companies, who are the main partners in the implementation of the project.
 
Kwa nini DPW wasisainishwe HGA na wakasainishwa IGA.

Je ni state owned company?
Dubai ni State?
 
Lazima Rais afanyie kazi lawama za uzembe zinazokuja kutoka kwa watumiaji wa bandari hiyo, ni wa humu ndani na wa nje ya nchi.

Pia DP World wanakwenda kuiongeza thamani bandari yetu, kwa mtu mwenye kuujua uchumi wa bandari kimataifa hawezi kuiachia hiyo fursa ya uwekezaji.

Wanakwenda kuendesha magati manne tu, namba tatu mpaka namba saba na sio zaidi ya hapo, hivyo bado kuna mwendeshaji mwingine anayetafutwa kwa ajili ya magati namba nane mpaka kumi na moja.
 
Rais leo amesimama jukwaani kutuambia kama Taifa kuwa mgao wa umeme umetokana na mitambo kutofanyiwa service muda mrefu. Makamba miaka mitatu nyuma alisema hayo hayo wakakata umeme wakakinai na sasa tunaambiwa yale yale.

Je tuaminije kauli zake kuhusu mkataba wa Bandari?

Tumepigwa aisee
 
Acha waje Kuna mtu anenidokeza wakianza kazi hao Dar itakuwa kama Dubai Yani nchi nyingi Duniani bidhaa watakuja kuchukua hapa

Kuhusu mapato ya nchi ndio usisema jamaa watakuwa wanatoa mpunga wa kutosha Kwa mwaka
shule ulienda kusomea ujinga?...huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…