Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niuharibu wa nini na nimekuuliza juu huko swali limekuwa mwiba kwako.Unakerehesha lakini haujaweza kuharibu mjadala
Jibu ni kuwa sikuiona.Niuharibu wa nini na nimekuuliza juu huko swali limekuwa mwiba kwako.
Uliiona HGA ya Gas? Iliyosainiwa mwaka jana? Au uliwahi kuiulizia hata siku moja?
Kuamini au kutoamini ni maamuzi yetu binafsi hakuna wa kutupangia. Suala la bandari ni la kiuchumi zaidi, ni la kutumia vizuri fursa ya kijiografia ambayo Mungu ametujalia.Rais leo amesimama jukwaani kutuambia kama Taifa kuwa mgao wa umeme umetokana na mitambo kutofanyiwa service muda mrefu. Makamba miaka mitatu nyuma alisema hayo hayo wakakata umeme wakakinai na sasa tunaambiwa yale yale.
Je tuaminije kauli zake kuhusu mkataba wa Bandari?
Tumepigwa aisee
Hahahahaha ajuza acha upuuzi wako, leo naona umepata bandoSasa wewe ulikuwa huelewi kuwa tuna mahakama mpaka za mbege? Itakuwa za CCM?
TPA inahitaji mwendeshaji atakayeleta changamoto za kutopotea mizigo ya wateja hovyo, atakayeleta changamoto za upakuaji na upakiaji wa haraka wa mizigo ya wateja.Nilitegemea kujenga hoja na tujadili kama Watanzania yaani wanaounga mkono upuuzi na wasiokubaliana nao.
Lakini sikutegemea hoja yangu ilete panic kwenye korido zenu huko machawa waandamizi.
Kunywa maji, tulia, kisha njoo tujadili hoja bila ngumi, laana wala matusi
Ripoti za CAG zifanyiwe kazi period.TPA inahitaji mwendeshaji atakayeleta changamoto za kutopotea mizigo ya wateja hovyo, atakayeleta changamoto za upakuaji na upakiaji wa haraka wa mizigo ya wateja.
Inahitaji mwendeshaji atakayeleta ufanisi kwa maana pana zaidi kuliko namna tunavyofanya kazi kimazoea miaka na miaka huku bandari ikiwa ni pango la mafisadi wa kila aina.
Bahati nzuri kwetu ni kwamba DP World ni mmiliki wa mzigo mwingi sana uliopo kule Rwanda na DRC, atautoa vipi kutoka kule na ukafika huko ughaibuni?. Ndio hapo pakatokea maslahi ya pande mbili kwa maana ya Tanzania kutaka mabadiliko ya shughuli za bandari ili tija ionekane na mwarabu kutaka urahisi wa mzigo wake kufika huko uendapo.
Huyo mteja wa mzigo uliopo nchi za upande wa Rwanda na DRC pia ni mfanyabiashara mkubwa wa sekta ya bandari, hiyo ni bahati kwake na bahati kwetu kama nchi.
Mimi nasema watawala wanataka kuleta vita nchini.Kuamini au kutoamini ni maamuzi yetu binafsi hakuna wa kutupangia. Suala la bandari ni la kiuchumi zaidi, ni la kutumia vizuri fursa ya kijiografia ambayo Mungu ametujalia.
Sio leo wala kesho na tunaweza tukaondoka hapa duniani tukiiacha CCM pale ikulu.Ripoti za CAG zifanyiwe kazi period.
Pia CCM iwekwe pembeni maana imeshafeli pakubwa
Mwananchi mwenye akili za kawaida kila kitu anakichukulia kwenye mtazamo wa kisiasa tu. Yapo masuala ya kiuchumi na haya sio ya kujadiliwa na kila mtu.Mimi nasema watawala wanataka kuleta vita nchini.
Sisi wananchi tumekataa. Tunataka mabadiliko kwa njia sahihi
Wapishi wengi huharibu mboga.Unatumia ibara ama mechanism gani kuruhusu ama kutoruhusu nini kijadiliwe