Treni ya abiria ya kifahari zaidi duniani (Rovos) yawasili Tanzania.

Wewe nan kakudanganya,hyo tren kila mwaka huwa anakuja kupitia reli ya Tazara,sasa hyo magu kaanza kuongoza kuanzia 1995?

Post sent using JamiiForums mobile app
Tanzania mpya mambo mapya- kila kitu past present and future juhudi na maarifa ya Magu!
 
Msisahau kuwatahadharisha wakitaka kutoka nje ya TZ kuelekea Kenya, wawe waangalifu sana wakifika Kenya wasikae sehemu zenye mikusanyiko ya watu, kama vile shopping malls nakadhalika kwasababu ugaidi umeshamiri sana Kenya
Sidhani kama watafika huko!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Hivi tazara treni zao ziko kama hivyo??yani classic...msosi ndani,vinywaji na vitanda? ?
 
Je raia wanaruhusiwa kwenda kuisabahi kama ilivyo ile meli kubwa ya vitabu?

Kazi ni Kazi
 
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na idadi kubwa ya wahudumu!

Treni hiyo imewasili siku ya jumamosi tarehe 15 July 2017 na itakaa hadi tarh 18 July 2017.

Watalii hao wanategemewa kutembelea vivutio mbali mbali vinavyopatikana hapa nchini!

Hata hivyo, hii ni mara ya pili kwa reli hiyo kuwasili hapa, mara ya kwanza ilikuwa mwezi March na inategemewa kurudi tena mwezi September/October!

View attachment 544128

View attachment 544129

View attachment 544130

Maelezo zaidi Rovos Rail train: Rolling from Cape to Tanzania - eTurboNews (eTN)
Samahani naomba kujua ,hivin hii Train huwa inaenda na Kenya....?
 
Njia ya reli iliopo sasa hivi haiwezekani kufika Kenya!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Njia ya reli iliopo sasa hivi haiwezekani kufika Kenya!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Kwahiyo hawa jirani zetu kumbe tumewazidi vitu vingi...!
 
Kwenye utalii hata wao wanalijua hilo, wanajifaragua lakini hawawezi

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
sifa za kijinga hizi..watalii 75 inawafanya mnajifananisha na East Africa's giant...
 
Tanzania's tourism policy focuses on net income not number of tourists. We'd rather have few high value tourists than many of 'low value'.
Ya kwenu ni the opposite.
 
nawapongeza tz kwa tourism industry yenu...bila shaka it is one of the best in africa.....ila stop this kujifananisha kila uchao
 
Hiyo treni ipo kila mwaka mara mbili ama tatu.
 
nawapongeza tz kwa tourism industry yenu...bila shaka it is one of the best in africa.....ila stop this kujifananisha kila uchao
Sasa jay na wewe bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mbona huwa unaleta post zenye kulinganisha nchi hizi mbili?

Kwa sababu tuko kwenye ushindani so haya mambo yanaweza yasiepukike

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na idadi kubwa ya wahudumu!

Treni hiyo imewasili siku ya jumamosi tarehe 15 July 2017 na itakaa hadi tarh 18 July 2017.

Watalii hao wanategemewa kutembelea vivutio mbali mbali vinavyopatikana hapa nchini!

Hata hivyo, hii ni mara ya pili kwa reli hiyo kuwasili hapa, mara ya kwanza ilikuwa mwezi March na inategemewa kurudi tena mwezi September/October!

View attachment 544128

View attachment 544129

View attachment 544130

Maelezo zaidi Rovos Rail train: Rolling from Cape to Tanzania - eTurboNews (eTN)
Mkuu tofautisha treni na reli

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom