Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wa bashite
Ninauliza kwa niaba ya rafiki zangu Wasomali na Wapemba......wangependa kujuwa hii treni itakaa hapa Bongo kwa siku ngapi, wana mizigo muhimu sana.Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na idadi kubwa ya wahudumu!
Treni hiyo imewasili siku ya jumamosi tarehe 15 July 2017 na itakaa hadi tarh 18 July 2017.
Watalii hao wanategemewa kutembelea vivutio mbali mbali vinavyopatikana hapa nchini!
Hata hivyo, hii ni mara ya pili kwa reli hiyo kuwasili hapa, mara ya kwanza ilikuwa mwezi March na inategemewa kurudi tena mwezi September/October!
View attachment 544128
View attachment 544129
View attachment 544130
Maelezo zaidi Rovos Rail train: Rolling from Cape to Tanzania - eTurboNews (eTN)
Hii ilikuwa ratiba ya 2017.Ninauliza kwa niaba ya rafiki zangu Wasomali na Wapemba......wangependa kujuwa hii treni itakaa hapa Bongo kwa siku ngapi, wana mizigo muhimu sana.
Ninauliza kwa niaba ya rafiki zangu Wasomali na Wapemba......wangependa kujuwa hii treni itakaa hapa Bongo kwa siku ngapi, wana mizigo muhimu sana.