simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Tanzania mpya mambo mapya- kila kitu past present and future juhudi na maarifa ya Magu!Wewe nan kakudanganya,hyo tren kila mwaka huwa anakuja kupitia reli ya Tazara,sasa hyo magu kaanza kuongoza kuanzia 1995?
Post sent using JamiiForums mobile app
Sidhani kama watafika huko!Msisahau kuwatahadharisha wakitaka kutoka nje ya TZ kuelekea Kenya, wawe waangalifu sana wakifika Kenya wasikae sehemu zenye mikusanyiko ya watu, kama vile shopping malls nakadhalika kwasababu ugaidi umeshamiri sana Kenya
Sio kama hio ila na zao zina sehem za kulala,msosi...bia hukosiHivi tazara treni zao ziko kama hivyo??yani classic...msosi ndani,vinywaji na vitanda? ?
Itabidi nikaipande aiseeSio kama hio ila na zao zina sehem za kulala,msosi...bia hukosi
Samahani naomba kujua ,hivin hii Train huwa inaenda na Kenya....?Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na idadi kubwa ya wahudumu!
Treni hiyo imewasili siku ya jumamosi tarehe 15 July 2017 na itakaa hadi tarh 18 July 2017.
Watalii hao wanategemewa kutembelea vivutio mbali mbali vinavyopatikana hapa nchini!
Hata hivyo, hii ni mara ya pili kwa reli hiyo kuwasili hapa, mara ya kwanza ilikuwa mwezi March na inategemewa kurudi tena mwezi September/October!
View attachment 544128
View attachment 544129
View attachment 544130
Maelezo zaidi Rovos Rail train: Rolling from Cape to Tanzania - eTurboNews (eTN)
Kwahiyo hawa jirani zetu kumbe tumewazidi vitu vingi...!Njia ya reli iliopo sasa hivi haiwezekani kufika Kenya!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Tanzania's tourism policy focuses on net income not number of tourists. We'd rather have few high value tourists than many of 'low value'.sifa za kijinga hizi..watalii 75 inawafanya mnajifananisha na East Africa's giant...
nawapongeza tz kwa tourism industry yenu...bila shaka it is one of the best in africa.....ila stop this kujifananisha kila uchaoTanzania's tourism policy focuses on net income not number of tourists. We'd rather have few high value tourists than many of 'low value'.
Ya kwenu ni the opposite.
Sasa jay na wewe bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nawapongeza tz kwa tourism industry yenu...bila shaka it is one of the best in africa.....ila stop this kujifananisha kila uchao
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unga umeshuka bei?
Senti furomu mai tekino wereva yuzingi jamii foramu mobaili apu
Mkuu tofautisha treni na reliKatika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa kukuza sekta ya utalii Tanzania, treni ya kifahari zaidi duniani "Rovos" ya Africa kusini imewasili hapa nchini ikiwa na watalii wapatao 75 na idadi kubwa ya wahudumu!
Treni hiyo imewasili siku ya jumamosi tarehe 15 July 2017 na itakaa hadi tarh 18 July 2017.
Watalii hao wanategemewa kutembelea vivutio mbali mbali vinavyopatikana hapa nchini!
Hata hivyo, hii ni mara ya pili kwa reli hiyo kuwasili hapa, mara ya kwanza ilikuwa mwezi March na inategemewa kurudi tena mwezi September/October!
View attachment 544128
View attachment 544129
View attachment 544130
Maelezo zaidi Rovos Rail train: Rolling from Cape to Tanzania - eTurboNews (eTN)