Treni ya abiria ya kifahari zaidi duniani (Rovos) yawasili Tanzania.

Mbona hiyo treni inakuja mara mbili mwaka
 
Nikajua baada ya kuokota vichwa vya treni safari hii tumebarikiwa treni yote kwa kuiokota tena
 
Ninauliza kwa niaba ya rafiki zangu Wasomali na Wapemba......wangependa kujuwa hii treni itakaa hapa Bongo kwa siku ngapi, wana mizigo muhimu sana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…