Treni ya kwanza ya SGR yakamilisha jaribio la safari kwa masaa 6

Treni ya kwanza ya SGR yakamilisha jaribio la safari kwa masaa 6

472 km treni ya SGR imetumia masaa 6 na dakika 30, nikifikiria treni ya tazara kutoka dar es salaam hadi mbeya 1440 kms, inabeba behewa zaidi ya 20 na inatumia 18 to 20 hours, na inapita milimani, sasa hii ya SGR naona kwa huo umbali nayo ingetumia zaid ya masaa 20, naona ni yale yale abdalah kaitwa dulla, anyway hongereni majirani kwa kufikia hapo
Hahaaaaaa!Abdallah kaitwa Dullah na Mohamed kaitwa Medi.Majanga aiseee!!!!
 
Back
Top Bottom