Gitimu Peter
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 205
- 211
Very true.Nimepitia threads nyingi hasa zinazohusu maendeleo ya nchi za East Africa.Katika kupitapita huko nimekutana na comments zinazodhihirisha kuwa wakazi hasa wa kutoka Kenya na/au Tanzania wakitoa maneno ya kashfa na wakati mwingine hata matusi.Mimi silaumu upande wowote iwe Wakenya,Watz au nchi yoyote isipokuwa nashangaa ni kwanin inakuwa hivi wakati sisi sote ni wakazi wa eneo hili!!!..Hebu kwa mfano Kenya imeweza kujenga reli ya kisasa ya SG na tayari treni imeanza safari ya majaribio,je kwanini tusipongeze kwa hili??!!...
Pia hili swala la kukashifu mwenzako kwanini lipo??!!,tren inatumia almost 3hrs and 50' from Nai to Mombasa na bado unaona ni bure!!??...Na mtu mwingine eti unamtusi mwenzako tena kwa kumfananisha na tsetse fly au Toilet fly!!?? Hii siyo vyema hata kidogo ndugu zangu.Pia isitoshe unamwambia eti unaita wenzako wasiofaham kiingereza!!,huu ni ujinga ndugu zangu coz lugha hizi zimeletwa tu, leo hii wewe unayejifanya wajua zaid kiingereza mfano nenda Mozambique tu au Congo sijui hicho kiingereza utaongea na nani...Sio tu Kiswahili kinazungumzwa sana nchini Tanzania bali sasa Kiswahili ni lugha inayokuwa kua sana Duniani..Ukienda Uganda,kiswahili uzungumzwa sana na wasomi na ndivyo inavyofahamika huko kuwa Ukizungumza kiswahili basi wewe ni msomi...Swala hili la lugha siyo kwamba ndo linaleta maendeleo ya nchi,na kuzungumza kiingereza ndiyo kungeleta maendeleo basi leo Nchi ya CHINA isengelikuwa kama ilivyo katika maendeleo.
Nimalizie kwa kusema maendeleo hayapingwa isipokuwa yanaigwa tu.
Nasisitiza tuwe pamoja katika swala la maendeleo ya nchi zetu,mwenzako akifanikiwa mpongeze na huo ndo urafiki wa kweli.Ila huu mwendo wa kusengenyana na kutukanana wala hautatusaidia kabisa.
Jamani nasema hivi kwa sababu mimi nilipotembea nchi fulani 2 nilikuwa nashangaa jins Wakenya na Watz ambavyo hatupendan but wazawa wa nchi hizo 2 wanapenda sana Watz kuliko Wakenya and I didn't know why? but nitalifuatilia hili badae kwa kuwa nazo sababu mbalimbali na kuzilinganisha na zile za matokeo.
"Maendeleo hayana lugha wala ukanda,tumeamua kushikamana kusukuma hili gurudumu basi tushikamane kweli kweli"
I keep asking myself the same question kila wakati. Imagine if people here instead spent the same time and energy used for insulting each other to actually discuss and exchange ideas on matters that affect the people, this would be one of the most fruitful forums of all times.
I also noticed that Kenya and Tanzania are similar in so many ways, such that this D*ck measuring contest becomes a total waste of time.