Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Nashukuru kipingi hiki ngedere na bundi wetu wamesalimikaIkifanya vzr msiache pia kupiga kelele za shangwe na makofi ya pongezi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kipingi hiki ngedere na bundi wetu wamesalimikaIkifanya vzr msiache pia kupiga kelele za shangwe na makofi ya pongezi!!
Ulikuwepo huko New York mwaka 1904 wakati treni yao inaanza kazi na ukashuhudia haikuwahi kupata hitilafu?Marekebisho ya kiufundi ?
Kifaa kipya!
Ufundi wa nini ???
Niliishi Brooklyn, New York. Subway lao limejengwa mwaka wa 1904.
Sijawahi kuona limekata moto.
La kwetu lina miezi miwili unusu. Kila siku linakata moto porini.
Tatizo nini ????
Treni ni mtumba Lile sio jipya..Shida ni treni jipya limekwama porini.
Kwa nini mitambo mipya inaharibika haribika ovyo ?
Limekuwa gari la mkaa ?
Hata lori la mkaa halikati moto porini likiwa jipya.
Tulinunua mitambo chakavu ? Kwa nini ma VX yao mapya hayakati moto porini ?
Ilipoharibika ni jirani na Kongowe Kibaha hivyo wanachukua Pikipiki wanaenda Morogoro Road kupanda MabasiImetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!
Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.
Tatizo nini?
Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.
=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
Ungekuwepo miezi miwili au mitatu ya miradi hiyo kuanza hiyo 1904 nadhani ingekuwa valid presidency nzuri otherwise is invalid yet!Niliishi Brooklyn, New York. Subway lao limejengwa mwaka wa 1904.
Hawa jamaa wa TRC ni wajinga sana, tripu za mwanzoni supplier alitakiwa atoe dereva na mafundi ambao watatembea na wale wazawa mpaka walau miezi sita au mwaka.
Asitekwe mkuu ana familia ndugu jamaa na marafiki baadhi wanamtegemea kwa hiyo kumteka ni kuwaumiza hao watu.Ameleta Taharuki, Atekwe
Aisee tuna viongozi wa ajabu sana. Kweli fisiemu ni jangaIshu ni kwamba Serikali ya Korea zilipoundwa hizi treni walitoa maelekezo kwa TRC kuwa locomotive drivers & others responsible kuwa lazima wakafanye mafunzo Korea kwa almost 3 yrs Sasa ikawa kinyume drivers hao wamepewa mafunzo ya 2 weeks na kulipwa @ 1.5 M then watawala wakapiga mipunga iliyobaki na wao kujipa route ya Korea as drivers Hadi wakorea wakawaambia hii ni too much na italeta shida. Koreans wao imewa cost 6yrs ku masters mitambo hiyo Sasa Leo hii locomotive driver hajui abc on how to operate mitambo kwann isibume,kwann nyani na bundi wasi haribu mitambo? TRC HQ wanajua A to Z hili. Tume iundwe Ila ukweli ni huo kozi hii ilipaswa kuanza miezi 4 imepita fedha imepigwa na wahuni wachache
Haya sasa ngedere na bundi wasubiri lawama nyingine ama waundiwe kikosi cha kuwaangamiza kama tulivyozoeaImetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni kipya, mitambo ya umeme ni mipya, na umeme upo. Nadhani juzi TANESCO walisema tunakimbia na ziada, na maji pia, kama ilivyosemwa na DAWASCO siku tatu zilizopita. Lakini leo, Jumapili, maji yamekata!
Abiria wapo, hivyo operesheni na mtaji wa matengenezo vipo.
Tatizo nini?
Wazalendo ndani ya TRC, tafadhali tujulishe kupitia njia zetu za kujuzana. Viongozi watatudanganya. Hawana dini. Waliwahi kusema Rais ametingwa na kazi Ikulu, kumbe ameshanyooka. Na waliongelea msikitini. Astakafullulilah Ladhim.
=====
Ufafanuzi wa TRC soma hapa: TRC yaomba radhi Treni ya Mchongoko Dar-Dodoma kusimama ghafla kati ya Pugu na Soga
Unaambiwa hiyo treni ni mpya watuwamekula hela za mafunzo kwa madereva.Mungu ajaalie "mifumo ya uendeshaji" ndege zetu isitokee.
Watanzania ni bogus sana, utakuta maereva waliamka na pombe, wa kichwa cha mbele anaenda Dodoma wa kichwa cha nyuma anaenda Dar.
Hakuna cha "hitilafu" wala nini kwenye mifumo ya uendeshaji, ni uzembe tu.
Nashauri viongozi wote waache kusafiri kwa mashangingi watumie joka ili wajue wakizembea tu nao wanamezwaFikiria siku mchongoko huo wa Korea utakapokwama ndani ya lile handaki kubwa kati ya manne kule Kilosa....Du!. 😲 Hivi watanzania hasa hawa viongozi na watendaji, wanaweza kufanya kitu gani kwa ukamilifu? 😢
Jiwe lilikuwa chumaHawajasema wataanza safari "sio muda mrefu.'
Wamesema ndani ya saa moja!
Itakuwa mida ya saa nane!
Treni limebuma saa mbili asubuhi. Itakuwa limebuma masaa sita.
Treni la Gongo La Mboto halijawahi kugoma masaa 6. In fact, halijawahi kugoma, for all we know!
Hili jipya, la kisasa, la kitaifa, kwa nini likate moto porini masaa sita ???
Hilo treni mboni hatulioni?Teh! 🤭
Shangaa weweHilo treni mboni hatulioni?
Mafunzo wamepewa.Unaambiwa hiyo treni ni mpya watuwamekula hela za mafunzo kwa madereva.
So madereva hawana training
zimetokea huko kwa walioendelea na wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 100 kwenye hii industry. Punguza ujuaji mzee. Hizi changamoto zipo tu.