Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

Treni ya SGR Dodoma kwenda Dar imekwama kituoni Mkata SGR station toka saa 1 jioni

version001

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
841
Reaction score
2,004
Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari.

Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko.

20240909_211847.jpg

=====

UPDATES: 2200HRS

======

TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa.

UPDATES 2

crowntvtzBreaking
: Abiria wa treni ya umeme (SGR) ambao walikuwa wanasafiri kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro wameishia kukwama eneo la Ngerengere kuanzia saa 11 jioni na hadi sasa saa 4 usiku huu hakuna taarifa yoyote rasmi kusema wataondoka saa ngapi. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
PIA SOMA
- Morogoro: Treni ya SGR (Dar-Dodoma) yakwama Kidete Kilosa kwa zaidi ya saa 4, sababu Hitilafu ya Umeme

- Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!
 
NI SUALA LA MUDA

 
Back
Top Bottom