Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunasubili mrejesho tuendelee na safari.
Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko.
=====
UPDATES: 2200HRS
======
TRC: Hii Treni haijakwama bali ilikua ikisubiria kupishana na treni nyingine. Abiria walitangaziwa.
UPDATES 2
crowntvtzBreaking: Abiria wa treni ya umeme (SGR) ambao walikuwa wanasafiri kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro wameishia kukwama eneo la Ngerengere kuanzia saa 11 jioni na hadi sasa saa 4 usiku huu hakuna taarifa yoyote rasmi kusema wataondoka saa ngapi. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu! Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu! ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR...
Hitilafu ni jambo la kawaida inategema inaweza kua hitilafu kubwa au ndogo na utatuzi wake ukawa mkubwa au mdgo vumilieni hapo ndo mnapojua umuhimu wa Technicians manake siku izi kila mtu anajidai fundi
kama kichwa cha habari kinavyosema,
tunasubili mrejesho tuendelee na safari..
Ni saa la pili sasa inasemekana Kuna marekebisho mbele huko.View attachment 3091869