Treni ya SGR imekuja kukomboa au kudidimiza wananchi? Hayati Magufuli asingekubali nauli hizi

Treni ya SGR imekuja kukomboa au kudidimiza wananchi? Hayati Magufuli asingekubali nauli hizi

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Nini maana ya kuwa na shirika la umma?

Dar Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?

Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwa nini nauli ziwe juu?
View attachment 3028738
Kwani Mabasi yamezuiwa kusafirisha abiria?
JPM alikuwepo lakini nauli ya ATCL ilikuwa juu kuliko FastJet na kama haitoshi hata FastJet akaiulia mbali
 
Deni lina muda maalumu wa kulipa, sio unalipa kama unavyojisikia tu, na mikopo ya hiyo treni inasemekana ni ya kibiashara. Hapo kwenye nauli yako inatakiwa ipatikane pesa ya uendeshaji na ya kulipia deni. Hakuna vya bure bwerere dunia hii.
Hili la Sgr ni la muda gani? Mpaka ukamue wananchi? Kwani deni la taifa lazima ulipe kupitia nauli za wananchi? Huwezi kuuza dhahabu na kulipa?
 
Bus Dar-Dom linatumia masaa 8 mpaka 9 mnalipa 35,000 leo utumie masaa sijui 3 au 4 bado unaona 50,000 ni nyingi? Basi pandeni hayuo mabus mshinde barabarani siku nzima
May be this will save the energy:

Bus carries only 50 to 60 people has to face traffic snarls,consumes costly fuels and faces travel even on bad or uneven surfaces called roads.The fuel cost ,the driver over heads the wear and tear costs are recovered from limited people so per head costs are more.

In rail travel once infrastructure is laid the maintenance costs are recovered from the large number of passengers who travel from place to place throughout the country. Infrastructure cost is a capital cost recover over many years period. that is why the rail travel is cheaper per person then the bus travel simply because the number of persons who use railways are much more than those who use buses. QUORA
 
Ukitumia quora haimaanishi kuwa usitumie uhalisia nje ya hapo.
Deni la TAZARA mpaka sasa halikuwahi kumalizwa, hata nusu ya deni haijawahi kulipwa, na Mchina anajiandaa kuichukua ili aiendeshe mwenyewe
 
Ila wabongo tuna shida, basi na nauli za ATC kwenda Dodoma ziwe elfu ishirini. Compared to mabasi, kwa SGR we pay for the convenience and comfort
Ile treni ya zamani inayofika Kigoma nauli ya Dar kwenda Dodoma shillingi ngapi?
 
Back
Top Bottom