Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mnafikiria mtalipaje hayo madeni mliyotumia kujenga??Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwa nini nauli ziwe juu?
View attachment 3028738
Punguza kulalamika..Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwa nini nauli ziwe juu?
View attachment 3028738
Kwani tukilipa nauli ya elfu ishirini deni halilipiki?Mnafikiria mtalipaje hayo madeni mliyotumia kujenga??
Kwenda zako hukoPunguza kulalamika..
Running cost ya treni na bus vinafanana?Bus Dar-Dom linatumia masaa 8 mpaka 9 mnalipa 35,000 leo utumie masaa sijui 3 au 4 bado unaona 50,000 ni nyingi? Basi pandeni hayuo mabus mshinde barabarani siku nzima
Mkifanya 50k washindani wake wakifanya 20k nani ataipata wateja wengi au mtaua washindani kwanza kama mlivyoua fast jet ili air Tanzania ipate watezs lakini inaoperate kwa hasara kila mwakaMnafikiria mtalipaje hayo madeni mliyotumia kujenga??
Hoja hapa nikuleta nafuu kwa wanannchi. Kumbuka hii ni mali ya umma, sio ya wamiliki wa mabasiBus Dar-Dom linatumia masaa 8 mpaka 9 mnalipa 35,000 leo utumie masaa sijui 3 au 4 bado unaona 50,000 ni nyingi? Basi pandeni hayuo mabus mshinde barabarani siku nzima
Kwani Mabasi yamezuiwa kusafirisha abiria?Nini maana ya kuwa na shirika la umma?
Dar Dodoma elfu hamsini? Badala ya elfu 20?
Bwawa la JNHEP limekilika. Umeme upo wa kutosha. Kwa nini nauli ziwe juu?
View attachment 3028738
Deni lina muda maalumu wa kulipa, sio unalipa kama unavyojisikia tu, na mikopo ya hiyo treni inasemekana ni ya kibiashara. Hapo kwenye nauli yako inatakiwa ipatikane pesa ya uendeshaji na ya kulipia deni. Hakuna vya bure bwerere dunia hii.Kwani tukilipa nauli ya elfu ishirini deni halilipiki?
Hili la Sgr ni la muda gani? Mpaka ukamue wananchi? Kwani deni la taifa lazima ulipe kupitia nauli za wananchi? Huwezi kuuza dhahabu na kulipa?Deni lina muda maalumu wa kulipa, sio unalipa kama unavyojisikia tu, na mikopo ya hiyo treni inasemekana ni ya kibiashara. Hapo kwenye nauli yako inatakiwa ipatikane pesa ya uendeshaji na ya kulipia deni. Hakuna vya bure bwerere dunia hii.
Nani kasema? Acha ujingaKwani Mabasi yamezuiwa kusafirisha abiria?
JPM alikuwepo lakini nauli ya ATCL ilikuwa juu kuliko FastJet na kama haitoshi hata FastJet akaiulia mbali
May be this will save the energy:Bus Dar-Dom linatumia masaa 8 mpaka 9 mnalipa 35,000 leo utumie masaa sijui 3 au 4 bado unaona 50,000 ni nyingi? Basi pandeni hayuo mabus mshinde barabarani siku nzima
Serikali inamiliki migodi ya dhahabu??Hili la Sgr ni la muda gani? Mpaka ukamue wananchi? Kwani deni la taifa lazima ulipe kupitia nauli za wananchi? Huwezi kuuza dhahabu na kulipa?
Ukitumia quora haimaanishi kuwa usitumie uhalisia nje ya hapo.May be this will save the energy:
Bus carries only 50 to 60 people has to face traffic snarls,consumes costly fuels and faces travel even on bad or uneven surfaces called roads.The fuel cost ,the driver over heads the wear and tear costs are recovered from limited people so per head costs are more.
In rail travel once infrastructure is laid the maintenance costs are recovered from the large number of passengers who travel from place to place throughout the country. Infrastructure cost is a capital cost recover over many years period. that is why the rail travel is cheaper per person then the bus travel simply because the number of persons who use railways are much more than those who use buses. QUORA
Ile treni ya zamani inayofika Kigoma nauli ya Dar kwenda Dodoma shillingi ngapi?Ila wabongo tuna shida, basi na nauli za ATC kwenda Dodoma ziwe elfu ishirini. Compared to mabasi, kwa SGR we pay for the convenience and comfort
Stamigold hawana migodi we kenge?Serikali inamiliki migodi ya dhahabu??