Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

Wa Tanzania gubu sasa unajuwa umeme umekatika shida nini? utasema kitu cha ajabu sana nchi nzima umeme umekatika sehemu kubwa kwa hiyo kusubiri tu imekuwa shida? Basi na siku zingine kukiwa hakuna shida zinafika salama muwe mnaandika sio negative tu.
Tuliambiwa umeme ukikatika abiria hawatajua kwani itaendelea kutembea, tulidanganywa na wewe unashiriki kwenye uongo kwa kuwatetea. Kumbuka walianza na bundi na nyani wanacheza sarakasi kwenye waya, cha ajabu jinsi waya zilivyowekwa ni vigumu sana kwa nyani kupanda.
Fikiria umelipa ili ufike haraka unakuta waliopanda basi wamekwisha fika!
 
Tuliambiwa umeme ukikatika abiria hawatajua kwani itaendelea kutembea, tulidanganywa na wewe unashiriki kwenye uongo kwa kuwatetea. Kumbuka walianza na bundi na nyani wanacheza sarakasi kwenye waya, cha ajabu jinsi waya zilivyowekwa ni vigumu sana kwa nyani kupanda.
Uzuri nchi hii kuna option nyingi sana, kuna ndege, ma bus na SGR ni mtu kuamua tu hapa nimepigwa napanda huku lakini leo hii unaweza kwenda kukata ticket full train 4 daily zaidi ya watu alfu 3 wanaingia na kutoka ukiangalia data ni mafanikio kuliko hizi changamoto. Hata ndege huwa zinachelewa sana tu lakini watu wanakubali ni changamoto
 
"Mtu mwenye afya hahitaji daktari kumtibu ugonjwa" ila huwa anashukutu kuwa na afya..
Kushukuru au kutoshukuru ukiwa na afya ni uamuzi wa mtu.

Kutaka tiba wakati wa ugonjwa ni haki ya kibinadamu.

Ukitaka kika mtu ashukuru kwa kika siku anayokuwa na afya hatutaweza jufanya kazi nyingine yoyote.

Priority ni kutengeneza palipoharibuka, si kushukuru ambapo pako vizuri.
 
Back
Top Bottom