"Mtu mwenye afya hahitaji daktari kumtibu ugonjwa" ila huwa anashukutu kuwa na afya..Mtu mwenye afya hahitaji daktari kumtibu ugonjwa.
Mgonjwa ndiye anahitaji daktari wa kumtibu ugonjwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Mtu mwenye afya hahitaji daktari kumtibu ugonjwa" ila huwa anashukutu kuwa na afya..Mtu mwenye afya hahitaji daktari kumtibu ugonjwa.
Mgonjwa ndiye anahitaji daktari wa kumtibu ugonjwa.
Nimemsikiliza kasema kuna vichwa vichache vitakuja Dual sio vimekuja ila vitakuja na vichache ndio kauli yake.Sio gubu masanja kadogosa alisema treni inatumia umeme na mafuta ikitokea changamoto ya umeme treni itahamia kwenye mfumo wa mafuta kwanini tudanganywe?
Nachingwea umeme upo japo ndio tushazoea kukatika mara 20 kwa siku ila saivi upoUmeme hakuna Tanzania nzima
Tuliambiwa umeme ukikatika abiria hawatajua kwani itaendelea kutembea, tulidanganywa na wewe unashiriki kwenye uongo kwa kuwatetea. Kumbuka walianza na bundi na nyani wanacheza sarakasi kwenye waya, cha ajabu jinsi waya zilivyowekwa ni vigumu sana kwa nyani kupanda.Wa Tanzania gubu sasa unajuwa umeme umekatika shida nini? utasema kitu cha ajabu sana nchi nzima umeme umekatika sehemu kubwa kwa hiyo kusubiri tu imekuwa shida? Basi na siku zingine kukiwa hakuna shida zinafika salama muwe mnaandika sio negative tu.
Sio kila Raia nchi tuko mil 65 toa watoto tuseme Mil 30 walipa kodi hawazidi Mil 2 ndio ujiulize wengine misukule au?Kila raia wa nchi analipa kodi.
Watoto wanavaa pampas na nepi, wanakunywa uji wa sukari au chumvi, wanatumia mafuta n.k hivyo wanalipiwa kodi na wazazi wao.Sio kila Raia nchi tuko mil 65 toa watoto tuseme Mil 30 walipa kodi hawazidi Mil 2 ndio ujiulize wengine misukule au?
Kunà ajabu gani umeme kukatika Tanzania?Mambo ya ajabu ajabu
Uzuri nchi hii kuna option nyingi sana, kuna ndege, ma bus na SGR ni mtu kuamua tu hapa nimepigwa napanda huku lakini leo hii unaweza kwenda kukata ticket full train 4 daily zaidi ya watu alfu 3 wanaingia na kutoka ukiangalia data ni mafanikio kuliko hizi changamoto. Hata ndege huwa zinachelewa sana tu lakini watu wanakubali ni changamotoTuliambiwa umeme ukikatika abiria hawatajua kwani itaendelea kutembea, tulidanganywa na wewe unashiriki kwenye uongo kwa kuwatetea. Kumbuka walianza na bundi na nyani wanacheza sarakasi kwenye waya, cha ajabu jinsi waya zilivyowekwa ni vigumu sana kwa nyani kupanda.
Bwawa la Nyerere halina maji?Wa Tanzania gubu sasa unajuwa umeme umekatika shida nini? utasema kitu cha ajabu sana nchi nzima umeme umekatika sehemu kubwa kwa hiyo kusubiri tu imekuwa shida? Basi na siku zingine kukiwa hakuna shida zinafika salama muwe mnaandika sio negative tu.
Kuna tofauti ya VAT na TaxWatoto wanavaa pampas na nepi, wanakunywa uji wa sukari au chumvi, wanatumia mafuta n.k hivyo wanalipiwa kodi na wazazi wao.
Tofauti ni ipi??Kuna tofauti ya VAT na Tax
Kushukuru au kutoshukuru ukiwa na afya ni uamuzi wa mtu."Mtu mwenye afya hahitaji daktari kumtibu ugonjwa" ila huwa anashukutu kuwa na afya..