DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Enjoy the journalMimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Kwaiyo wewe ni reporter au msafiri?Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Ni matatizo ya kiufundi hata wao hawajatarajia mbona siku nyingine wanaenda sawa jitahidi kuwa mvumilivu kama mnaona tren halina uhakika pandeni mabasi mbona miaka iliyopita mlikuwa mnapanda mabasiMimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Dah!... poleni sanaMimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
OK. Namuagiza mkuu wa mkoa hili nalo akaliangalieMimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Wenyewe mkiwauliza wanasemaje...?Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
USITETEE UPUMBAVU NA UHUJUMU WA WAZI.Ni matatizo ya kiufundi hata wao hawajatarajia mbona siku nyingine wanaenda sawa jitahidi kuwa mvumilivu kama mnaona tren halina uhakika pandeni mabasi mbona miaka iliyopita mlikuwa mnapanda mabasi
Hitilafu za kiufundi hata USA zipo.Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Wenyewe mkiwauliza wanasemaje...?
MtanikumbukaHitilafu za kiufundi hata USA zipo.
Ila treni yenu imezidi tofauti na Mabasi.
Mna nongwa sana sasa SGR ikuhujumu wewe panda kimbinyiko acha malalamikoUSITETEE UPUMBAVU NA UHUJUMU WA WAZI.