DOKEZO Treni ya SGR ya Dar - Dodoma imesimama Morogoro kwa Saa Mbili, kisha imezima tena kabla ya kufika Dodoma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
1. Yaani uko eneo la tukio hujui kwanini mmekwama?...Watanzania tuna akili kweli?
Mmeshindwa kukiwasha?
2. Serikali ya Tanzania haiwezi biashara wala huduma, nchi hii yafaa wasimamizi wakodishwe hadi wabunge
Kabisa yani watu wamelipia na wanaruhusu muda wao kuchezewa ila wanashindwa kuwawajibisha wahusika.

Ndio maana hatutoendelea kwa sababu huwa tunaishia kulalamika bila kuchukua hatua stahiki.
 
Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.

Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.

Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.

Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.

Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.

"Kuweni na subira vichwa vya dizeli vipo njiani vinakuja kumaliza tatizo la treni ya umeme, na kwa hili nipende kumshukuru mama" in kadogosa voice
 
Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.

Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.

Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.

Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.

Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Mmeondoka?
 
Waliopo Dodoma watupe taarifa vizuri. Kwa tetesi ni kwamba, wale abiria wa ile treni inayotoka Dom - Dar Mapema asubuhi Kila siku (ambayo Leo pia ilichelewa sana) wamepanda treni Marshalling na sio kule kituo Cha Samia.
Kule ndio kulikotokea hitilafu
Anyway, 🤐🤐🤐🤐🤐
 
Wewe

Back
Top Bottom