Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Unaingia navyo vipi?Ukizingatia awaruhusu msosi, mchana itawakuta hapohapo.
Ndio maana mimi huwa napanda na vitumbua vyangu nakula sina habari na mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaingia navyo vipi?Ukizingatia awaruhusu msosi, mchana itawakuta hapohapo.
Ndio maana mimi huwa napanda na vitumbua vyangu nakula sina habari na mtu.
Jiandae kwa budget ambayo hukuitarajiaMimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Mpaka sasa hivi TRC hawajatoa mrejesho? Vipi bado mmekwama hapo Morogoro?Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
Tatizo wala sio umeme. Ni mifumo yao ya iendeshaji."Kuweni na subira vichwa vya dizeli vipo njiani vinakuja kumaliza tatizo la treni ya umeme, na kwa hili nipende kumshukuru mama" in kadogosa voice
Tatizo hata sio mifumo.Tatizo wala sio umeme. Ni mifumo yao ya iendeshaji.
Watafika kesho.kesho nayo sikuTatizo hata sio mifumo.
Kuna kitu kilitokea kule Dodoma, njia ikawa haipitiki
Tatizo wananunua used. Wazungu wameshayatumia na kuyatupa wao ndiyo wanachukua ili waonekane wanafanya maendeleo. Treni mlinunua la nini? Kumbe unaweza kupanda saa 2 asubuhi Dodoma na ukafika kesho yake Dar saa 5 usiku😀😀😀😀Ni matatizo ya kiufundi hata wao hawajatarajia mbona siku nyingine wanaenda sawa jitahidi kuwa mvumilivu kama mnaona tren halina uhakika pandeni mabasi mbona miaka iliyopita mlikuwa mnapanda mabasi
Kidogo muambiwe shukeni msukume😀😀Abiria wote tumeambiwa tushuke kwenye Treni, hatujui nini kinachoendelea.
Ngoja tusubiri Repoti ya Kaflagi itasemaje kuhusu hiliIla mmefika Dodoma.
Msomaji.Kwaiyo wewe ni reporter au msafiri?
Baada ya kuambiwa na mtu anayemuamini.Ngoja tusubiri Repoti ya Kaflagi itasemaje kuhusu hili
wanalia tu...🤣Wenyewe mkiwauliza wanasemaje...?
Kitu gani mkuu?Tatizo hata sio mifumo.
Kuna kitu kilitokea kule Dodoma, njia ikawa haipitiki
Kuna mtu hapo kasema Kuna kitu kimetokea kwenye njia haipitiki. Hata wa Dodoma wamepandia mbele na sio station kuu.Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni kuelekea Dodoma, matarajia ya kuwasili yalikuwa Saa 3:30 asubuhi baada ya hapo ilikuwa nielekee kwenye kikao sehemu fulani ambacho kilipangwa kuanza Saan ne kamili asubuhi.
Safari ilianza vizuri tu na kwa mwendo wa kasi, ilipofika maeneo fulani ambayo siyakumbuki kasi ikaanza kupungua.
Tulipofika Morogoro tukasimama hapo muda mrefu, hadi muda huu saa tano bado tupo Morogoro na hatujui nini kinaendelea.
Safari iliyotarajiwa kufikia tamati saa tatu na nusu, hadi sasa nis aa tano bado tupo Morogoro.
===============
UPDATES...
IMESIMAMA TENA KABLA YA KUFIKA DODOMA
Ilipofika Saa tano na dakika 40 flani hivi Treni ikawashwa tukaendelea na safari, muda wa saa saba na nusu Mchana kabla ya kufika Dodoma, mzigo umezima tena, hatujajua hapa ni wapi ila ndio tunasikilizia kujua nini kinaendelea.
Abiria wote tumeambiwa tushuke kwenye Treni, hatujui nini kinachoendelea.
Imagine niliamka saa tisa ili niwahi Treni ya Saa kumi na mbili na saa tatu na nusu niwe nimefika, mpaka sasa saa saba na nusu mchana hatujafika Dodoma, si bora ningepanda basi nijue moja.
TUNASHUKA, TUNAPANDISHWA KWENYE MABASI
Abiria wote baada ya kuambiwa tushuke, tumeambiwa kuna mabasi ambayo yanakuja kutuchukua hapa tulipo kutupeleka Dodoma Mjini kwa kuwa inaonekana kuna kama Kilometa zaidi ya 20 kabla ya kufika Dodoma.
Naweka ndani ya begi au nashika mkononi kwenye bahashaUnaingia navyo vipi?
Mkuu, kiukweli Kwa ninachokijua nasubiri tu taarifa kutoka shirika la reli itasemaje kwanza!Kitu gani mkuu?
😁Baada ya kuambiwa na mtu anayemuamini.
Bado haujafika.Mkuu, kiukweli Kwa ninachokijua nasubiri tu taarifa kutoka shirika la reli itasemaje kwanza!