Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Treni mpya hitilafu zinatoka wapi? Ikifikisha miaka kumi si hakuna kitu hapo itakuwa inasukumwa kwa mikono.Hitilafu za kiufundi hata USA zipo.
Ila treni yenu imezidi tofauti na Mabasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Treni mpya hitilafu zinatoka wapi? Ikifikisha miaka kumi si hakuna kitu hapo itakuwa inasukumwa kwa mikono.Hitilafu za kiufundi hata USA zipo.
Ila treni yenu imezidi tofauti na Mabasi.
Naomba na mie vitumbua maana safari hi ndefuuuuUkizingatia awaruhusu msosi, mchana itawakuta hapohapo.
Ndio maana mimi huwa napanda na vitumbua vyangu nakula sina habari na mtu.
Unazeeka na uhuni wakoNaomba na mie vitumbua maana safari hi ndefuuuu
KWAHIYO KILICHOTOKEA NI CHANGAMOTO NDOGO?Hizo ni changamoto ndogo ndogo zitaisha tu.
Wee leta vitumbua hivyo tule hapa namuagiza muhudumu wa sgr atuletee chai na kahawa hapaUnazeeka na uhuni wako
Hivi chai wanauzaga bei gani? huwa nanunua maji ya buku kushushia vitumbua vyangu.Wee leta vitumbua hivyo tule hapa namuagiza muhudumu wa sgr atuletee chai na kahawa hapa
Kha! Wee nae u ahili hujaacha tuuHivi chai wanauzaga bei gani? huwa nanunua maji ya buku kushushia vitumbua vyangu.
Naweza kutoa hela kwa kitu kinachoshibisha, mule bites bei ghali halafu ukila tumboni upepo mtupuKha! Wee nae u ahili hujaacha tuu
January ngumu hii, hayo mabasi yametoka wapi? sio kwamba ni baishara ya mtu kweli? NI abood au Shabiby?TUNASHUKA, TUNAPANDISHWA KWENYE MABASI
Abiria wote baada ya kuambiwa tushuke, tumeambiwa kuna mabasi ambayo yanakuja kutuchukua hapa tulipo kutupeleka Dodoma Mjini kwa kuwa inaonekana kuna kama Kilometa zaidi ya 20 kabla ya kufika Dodoma.
Ni mjinga tu anayeamini hakuna changamoto katika maisha ya mwanadamu. Narudia ni mjinga tu ndio ataamini hivyo.Mnatetea ujinga wa mchana
Sasa kwani vitumbua unashiba kweli...Naweza kutoa hela kwa kitu kinachoshibisha, mule bites bei ghali halafu ukila tumboni upepo mtupu
Ndio. Kinachotakiwa ni kuwataka wahusika wahakikishe kila changamoto inapojitokeza wanaishighulikia.HUO MRADI
KWAHIYO KILICHOTOKEA NI CHANGAMOTO NDOGO?
Chura kiziwi Yuko kimya,utadhani hatuoni yanayotokeaNi mjinga tu anayeamini hakuna changamoto katika maisha ya mwanadamu. Narudia ni mjinga tu ndio ataamini hivyo.
Mkuu hiyo train ni Used siyo mpya ukiona vifaa used vinakuja Nchini uko vinapotoka vinakua vimeshapitwa na muda, ni sawa ununue Nokia Lumia used.Ni matatizo ya kiufundi hata wao hawajatarajia mbona siku nyingine wanaenda sawa jitahidi kuwa mvumilivu kama mnaona tren halina uhakika pandeni mabasi mbona miaka iliyopita mlikuwa mnapanda mabasi