Hicho kipande kichunguzwe isijekuwa kuna hujuma zinafanyika,
Tukicheka na nyani tutavuna mabua
Enzi za Mwinyi kulitokea maafa mitaa ya Kilosa
Enzi za Mkapa nako ajali mbaya pande za Mpwapwa
 
Hii treni tumepigwa, tena tumepigwa pakubwa. Tulisema, tunasema na tutaendelea kusema, hatukujipanga, hatutaki kujipanga na hatuna mpango wa kuendelea, ni blah blah za upigaji za siku zote, sekta zote. CCM ni laana.

Kwenye Ndege hali ni hiyo hiyo...
Kwenye mwendokasi hali ni hiyo hiyo..
Na sasa SGR hali ni hiyo hiyo....
 
Hao wakorea walioitengeneza hawapo? Maana inatakiwa iwepo warrant ya hata miaka mitatu, na kwa muda huo wote maafisa wao wawe wanatembea katika treni kuisikilizia
Bila shaka hilo limezingatiwa......hawawawezi kujaribu ktk kipindi cha mwanzo bila wao kuwepo.

Changamoto kwa mwanzoni sio jambo la kushangaza.
Tutazoea tu.
 
Hicho kichwa tumepigwa tayari watu wamevuta 10%
 
Watakua nyani hao...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…