Treni ya SGR yazimika tena Morogoro!
I told you guys,Nchi maskini ku opt expensive project using high technology tena za kusubiria mfundishwe na Wazungu haya ndio madhara yake.

Kama tungekuwa tumejenga Barabara km 6,000 Sasa hivi tungekuwa tumevuna Uchumi mkubwa sana ambao ungewezesha kusomesha watu Wetu na kujenga Sgr bila pressure yeyote kuanzia mwaka 2030 huko.

Hela zimepotea na kinsgr chenu kitaendelea kusumbua Hadi mkome
Hapana mradi hauna shida ila ni hujuma za makusudi
 
Changamoto za mwanzo kutokana na ugeni. Bila shaka kila kitu kitakaa sawa.

Sisi hatuna ugeni. Vitu vyote vinavyofanywa na kusimamiwa na Serikali hii ya kwetu huwa havina perfection hata siku moja. Hiyo ndiyo kawaida ya miradi yote ya Serikali. Kukiwa na perfection ndiyo itakuwa ajabu.

Tulianzisha viwanda, viliishia wapi? Tulianzisha mashirika ya usafirishaji kwa kila.mkoa, yaliishia wapi? TANESCO utendaji kazi wake upoje? Hospitali zetu za umma, zipoje?

Watu wazoee tu, hiyo SGR itakuwa inakwenda hivyo hivyo, cha kuombea isipate hitilafu ya kuleta maafa. Hiyo kukwamakwama itakuwa ndiyo utendaji wake wa kawaida.
 
Kikubwa siasa ipungue tu
 
Changamoto za mwanzo kutokana na ugeni. Bila shaka kila kitu kitakaa sawa.
Nawachukia sana CCM kwa kupenda kuendesha mambo ya nchi kwa ku- bet kama unavyotakatisha uovu wewe kwa maneno kama haya!Inamaana hapajawa na upembuzi ya kinifu wa kitaalamu kabla ya mradi?Tunaanza kufanya eti marekebisho kwenye hatua ya uendeshaji?
 
Tulisema mapema lazima wataihujumu
Nani aihujumu, siasa za maji taka hizo, mshindwe kila tatizo linapotokea lazima mtafute chaka la kujifichia?? Mwafika ni mwafrika, tu tena mtanzania ndio kabisaaa!! Ni siasa tu na leo utasikia wanakuja na sababu nyepesi tu, ila ni suala la muda tu.
 
taarifa haijathibitishwa ni kweli ama hapana na tukio limetokea wapi ila wadau ni kuponda tu

ila miradi ya serikali ni upumbavu mtupu iwe kweli ama hapana hii taarifa
 
Changamoto za mwanzo kutokana na ugeni. Bila shaka kila kitu kitakaa sawa.
Maendeleo ya watu ni muhimu sana kabla ya maendeleo ya vitu.

Watu wakiendelea kwanza, tutapata maendeleo ya vitu kwasababu watu watajuwa kutunza vitu. Na pia kufahamu umuhimu wa hivyo vitu kwenye maisha yao towards civilization.

Kuendeleza vitu kwanza kabla ya watu ni hasara.

Hakutakuwa na ustaarabu wa matumizi ya hivyo vitu na hivyo kupelekea hasara.

Iwe mwendokasi, SGR, sijui ndege.

Nothing will survive in a sustainable ways.

Tatizo ni uongozi wa ccm ambapo wanafahamu kwenye process ya kuendeleza watu, basi watajitambuwa.

Kama North Korea tu.
 
Ingekuwa yalinunuliwa na yule mwingine akina Zitto mishipa ya shingo ingekakamaa wakituambia ni mtumba.

Tuendelee kuwaangushia lawama hao wasioweza kujitetea hadi TAWIRI waingilie kati.
 
Back
Top Bottom