Watz hawataki ugaidi mkuu, hata wewe mwenyewe nafsini kwako hutaki ugaidiHii nchi bila kupata Kiongozi mwenye roho mbaya,Gaidi,muuwaji na mtesaji kwa walanguzi (KAMA MAGUFULI)
HAKIKA HATUWEZI KWENDA TUNAKOTAKA!
Watz hawataki ugaidi mkuu, hata wewe mwenyewe nafsini kwako hutaki ugaidi
Hata mimi pia nimejibu kwa kumaanisha hivyo.Nilichomaanisha hapo ni kuwa na roho ya kigaidi (Roho isisyokuwa na huruma kwa walanguzi)
Tanzania Railways Corp njooni huku. Mnakumbuka nilichowaambia asubuhi ya Leo?Treni ya shirika la reli (trc) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda arusha ilitarajiwa kuwasili moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya korogwe na same. Mamlaka ziwaonee huruma abiria wawapelekee mabasi yawafikishe kwao. Kuna abiria wengine ni wagonjwa wa kisukari n.k wanapata tabu sana.
Magufuli hakuwa na upeo wa kuchanganua mambo. Nakubaliana na wewe kuwa tunahitaji kiongozi mkali na active ila afuate sheria na katiba kwenye kutimiza majukumu yake. Halafu awe na maono na atumie sayansi kuongoza na siyo mihemko.Nilichomaanisha hapo ni kuwa na roho ya kigaidi (Roho isisyokuwa na huruma kwa walanguzi)
Yaani mtu mzima,unamuona magufuli wa maana labda kuliko hata babaakoHii nchi bila kupata Kiongozi mwenye roho mbaya,Gaidi,muuwaji na mtesaji kwa walanguzi (KAMA MAGUFULI)
HAKIKA HATUWEZI KWENDA TUNAKOTAKA!
Yaani mtu mzima,unamuona magufuli wa maana labda kuliko hata babaako