Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

Ni kushukuru Mungu tu, wale Simba wa Mkomazi sio wala watu, laa sivyo tungekuwa tunaongea mengine.
 
Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila imekwama maeneo ya same pasipo shirika la reli kutoa taarifa kwa uma au abiria huku wananchi wakiendelea kuteseka maporini. Baadhi ya abiria wakiwemo watoto na wagonjwa imewabidi kukodi pikipiki iwapeleke same mjini ambapo ni umbali mrefu ili waweze kuendelea na safari zao. Shirika limeshimdwa kuwa na uungwana angalau kwa dharura kuhakikisha wateja wao wanasaidika. Serikali ya Mama kizimkazi imekwama kwa kila kitu.
 
Wapo watakaofanya mapenzi njiani licha ya kutokea hyo changamoto..... Tanzania nchi yangu nakupenda Sanaa
Ruksa kula tunda kimasiahara. Tusubiri huenda kuna memba atakuja kutoa pongezi kwa abilia mwenzake.
 
Magufuli hakuwa na upeo wa kuchanganua mambo. Nakubaliana na wewe kuwa tunahitaji kiongozi mkali na active ila afuate sheria na katiba kwenye kutimiza majukumu yake. Halafu awe na maono na atumie sayansi kuongoza na siyo mihemko.
Majaliwa Kassim anafaa
 

Reli ifanye kazi kwa ufanisi ili wenye nabasi yao wafunge biashara? Sahau hilo!
 
Huku Tanasco, kule TRC, huku Bima ya afya, kule !
Ni sheeda juu ya sheedah Nchi hii!
 
Back
Top Bottom