Treni ya umeme Morogoro ni mwisho wa Abood bus services?

Treni ya umeme Morogoro ni mwisho wa Abood bus services?

haiwezekani kufanya route nyingi maana abiria si wengi kiasi icho, otherwise uweke kichwa cha train kiwe kinavuta behewa mbili tu. of which is hasara. hii train iyafanikiwa kuua routes za abood za asubuhi sana, labda nanza jioni pekee, na pia ni kwa kiasi kidogo sana.
Abiria wapo, ndio maana Abood na Hood yanaondoka kila nusu SAA kila siku. Kama watu wakijuwa kuwa kuna treni ya haraka na bei rahisi kila asubuhi, mchanga na jioni abiria wote wata ji tune kusafiri na treni kwa mida ya treni. Hata treni la Mwakyembe si limezoa abiria wote na kusababisha vilio kwa madaladala?
 
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
Aaah whapi watu watapanda tu.
 
Hao Abood si waongee na serikali wanunue treni zao? Zioperate kwenye hiyo reli.. kwa nini serikali iingie gharama ya kununua treni wakati watu binafsi wapo..
 
Hao Abood si waongee na serikali wanunue treni zao? Zioperate kwenye hiyo reli.. kwa nini serikali iingie gharama ya kununua treni wakati watu binafsi wapo..
Wazo jema. Sawa na Azam alivyonunua meli kwenye bahari ya serikali
 
Ila ikianzwa kujengwa tu nitaenda kununua plots moro,sitaki kufanya sasa yasije kunikuta ya bwana slim( cheki bob maarifa) na mradi hewa wa bandari ya bagamoyo.
 
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
Kwanza jiulize hiyo tren itajengwa mwaka gani? Pili je kwa huu umeme wa kukatika katika kuna usafiri???

Siasa mbaya sana!
 
tutazima taa na friji zetu watu watoke dar kwenda morogoro
HAPA KAZI TU
 
Soko la abood litabaki, sio abiria wote ni ubungo to msamvu ...wengine ni njiani ambako hakuna treni
 
abood bus huondoka morogoro kwenda Dar, na Dar kwenda moro kila baada ya nusu saa. route ya train ya umeme at most itafanya route mbili au tatu pekee kwa siku.
wengi wanaenda kifanya shopping dar nankurudi, hasa wale ambao muda wao na ratiba zao zinahitaji uharaka, wataendelea kutumia abood.
Mkuu salama? Wewe Ni G kalol.....?
 
Unaonaje kama TRCL nayo ikawa na safari nyingi na za haraka zaidi kuliko unavyofikiri wewe? Kumbuka kuwa treni inakwenda kasi na haina foleni njiani kuliko mabasi. Nani anapenda kwenda Morogoro kwa masaa 4 badala ya SAA 1?
Tena kwa gharama nafuu na uhakika wa usalama ukiwa A.
 
Back
Top Bottom