Treni ya umeme Morogoro ni mwisho wa Abood bus services?

Abiria wapo, ndio maana Abood na Hood yanaondoka kila nusu SAA kila siku. Kama watu wakijuwa kuwa kuna treni ya haraka na bei rahisi kila asubuhi, mchanga na jioni abiria wote wata ji tune kusafiri na treni kwa mida ya treni. Hata treni la Mwakyembe si limezoa abiria wote na kusababisha vilio kwa madaladala?
 
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
Aaah whapi watu watapanda tu.
 
Hao Abood si waongee na serikali wanunue treni zao? Zioperate kwenye hiyo reli.. kwa nini serikali iingie gharama ya kununua treni wakati watu binafsi wapo..
 
Hao Abood si waongee na serikali wanunue treni zao? Zioperate kwenye hiyo reli.. kwa nini serikali iingie gharama ya kununua treni wakati watu binafsi wapo..
Wazo jema. Sawa na Azam alivyonunua meli kwenye bahari ya serikali
 
Ila ikianzwa kujengwa tu nitaenda kununua plots moro,sitaki kufanya sasa yasije kunikuta ya bwana slim( cheki bob maarifa) na mradi hewa wa bandari ya bagamoyo.
 
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
Kwanza jiulize hiyo tren itajengwa mwaka gani? Pili je kwa huu umeme wa kukatika katika kuna usafiri???

Siasa mbaya sana!
 
tutazima taa na friji zetu watu watoke dar kwenda morogoro
HAPA KAZI TU
 
Acha kufananisha King of the road na vitu vya kufikirika.
 
Soko la abood litabaki, sio abiria wote ni ubungo to msamvu ...wengine ni njiani ambako hakuna treni
 
Mkuu salama? Wewe Ni G kalol.....?
 
Unaonaje kama TRCL nayo ikawa na safari nyingi na za haraka zaidi kuliko unavyofikiri wewe? Kumbuka kuwa treni inakwenda kasi na haina foleni njiani kuliko mabasi. Nani anapenda kwenda Morogoro kwa masaa 4 badala ya SAA 1?
Tena kwa gharama nafuu na uhakika wa usalama ukiwa A.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…