Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

Huu Uzi ni propaganda za shirika la reli ....usiuamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona watu wazima wanaenjoy zaidi maana mabasi wanadai wanavimba miguu,itabidi nitafute safari ya treni ndefu nione raha yake zaidi maana nimepanda Mara moja tu route ya Mwakyembe ya ubungo maziwa
 
Maboss wa mabasi ndiyo waliyoua usafiri wa treni. Na kama usafiri wa treni ukiimalika wamiliki wa mabasi watakuwa na hali ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbuka safari moja ya treni ni zaidi ya mabasi ishirini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maboss wa mabasi ndiyo waliyoua usafiri wa treni. Na kama usafiri wa treni ukiimalika wamiliki wa mabasi watakuwa na hali ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kumbukeni kuna watu watakosa ajira baada ya hayo mabasi kusimama,wanafunzi kilipiwa na wazazi, ndugu aliye kuwa anasaidiwa na mfanyakazi wa basi, maduka, mahoteli ktk stendi za mabasi zote zilikuwa zinahudumia watu mbali mbali na kulipa kodi za jengo na mamlaka husika,tuangalie pande zote. Na wale abiria wa njiani ambapo hamna stesheni ya treni wanapataje huduma,? Nimawazo yangu tu rejea Mombasa to Nairobi kilio cha wenye mabasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa nchi hiyo ukoje, linganisha watu wa kijijini kwako wanavyosafiri na Wakazi wa Dar wanavyosafiri unadhani ni sawa?
 
No limits to the money i took a train and ride across the country.

Sio woote ambao watapanda treni kuna maeneo treni haisimami au haipiti kabisa so ilikufiika unapoenda lazima upande basi so waache kulalama

In Magufuli voice "wapige kazii"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Besta Mlagila,
Huu ni mwanzo tu kwa wamiliki wa mabasi kwani SGR ikimalizika hali itakuwa mbayo zaidi kwao. Simshauri yeyote yule kuwekeza kwenye sekta hiyo kwani zile enzi za kuvuna ndiyo zinafikia tamati.
Kuna route zengine treni hazifiki ila wale wa kwenda mwanza,arusha na moshi plus shinyanga singida tabora dodoma morogoro hali itakuwa tete ila wamtwara lindi songea huko kwao bado watamake money

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…