Apumzike kwa amani..so sad..ni jiran yangu kule kijijin
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.
Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria 1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu.
source; millard ayo
Poleni wafiwa.

Maza anaweza kutembelea eneo la tukio

Kichwa cha habari kinachanganya kweli kweli! Unaweza kudhani ni dereva wa treni! Jambo ambalo haliwezekani hata kidogo.Treni yaapata ajali dereva afariki.nilitaka nishangaa dereva wa tren afariki kwasababu ya kugongana na gari
hatimaye nimempata shabiki wa Yanga ambaye anafaa kuolewa na mwana simbaInayoenda kigoma ifiki salama, hatutaki simba wapate sababu tutakapo wafunga 3:0 oh mara tulipata majanga njiani.
Mungu wafikishe salama kigoma ndege wetu simba.
Vip mmemaliza swala la manara Mkuu ili tukiwafunga msiseme potelea mbalihatimaye nimempata shabiki wa Yanga ambaye anafaa kuolewa na mwana simba
karibu Mwanza Lucky[emoji7]
Simba itafika salama salimini na kipigo itatoa usitie hofu rafiki[emoji2][emoji2][emoji2]Inayoenda kigoma ifiki salama, hatutaki simba wapate sababu tutakapo wafunga 3:0 oh mara tulipata majanga njiani.
Mungu wafikishe salama kigoma ndege wetu simba.
Manara ni sio simba sc mzee. Awepo au asiwepo sisi tunapeta.Vip mmemaliza swala la manara Mkuu ili tukiwafunga msiseme potelea mbali
Ushafika kigoma lakini? Mbona sikuoni?😂😂😂Manara ni sio simba sc mzee. Awepo au asiwepo sisi tunapeta.
mlipotufunga 1 bila huyo TAKADINI si alikuwepo? sasa ilikuwaje mkatufunga?
hebu niache na baby wangu mpya luckyline anipeleke mbio kama Tuisila Kisinda😅😅😅
Ahaaa tumehakikisha nyau wa mkoa mzima wanalindwa vizuri 😂😂 hicho kipigo kitatoka wapi jamani? Na vile ushastaafu kazi poleni sana.Simba itafika salama salimini na kipigo itatoa usitie hofu rafiki[emoji2][emoji2][emoji2]