Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

Treni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

Screenshot-2021-07-22-at-16.01.02-660x400.png



Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode, Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.

Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria 1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu.

source; millard ayo

Mkuu hii habari si ya majuzi au nyingine?
 
Ushafika kigoma lakini? Mbona sikuoni?😂😂😂
𝐍𝐢𝐩𝐨 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐤𝐢𝐛𝐨𝐧𝐝𝐨 𝐦𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢
𝐧𝐣𝐨𝐨 𝐛𝐚𝐬 𝐭𝐮𝒑𝒂𝒏𝒈𝒆 𝒎𝒂𝒕𝒐𝒌𝒆𝒐
 
Back
Top Bottom