Shirika la Reli Tanzania
(TRC) limesema Treli ya
Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021 baada ya
Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode,
Morogoro na kupelekea
majeruhi 21 ambapo Wanaume ni
13 na Wanawake
8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni
Gerald Malandu.
Treni hiyo iliyokuwa ikitokea
Dodoma kuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria
1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya
SGR Kidete kwa
Matibabu.
source; millard ayo