Treni za Japan zinaweza kutembea kilomita 823 kwa dakika 10 tu

Mzee wameandika kabisa hapo chini simulation halafu unakuja kutuletea humu.

Umesoma shule gani mzee!?
Nimeweka screenshot hii ili usije ukafuta picha. Watu wote wakuone namna ulivyo mbumbumbu.
View attachment 2145272
Kwani humjui huyu? Ni mburula wa JF anayetaka kuonekana genious kwa kupost jamii intelligence mambo ya chuoni ilihali hata la saba hakufika
 
Ni simulation mkuu sio uhalisia. Ila wanayo train inatumia tech ya maglev inatembea 602km/h na ndo the fastest train in the world
 
lakini technology nyingi inaanzia kwenye simulation then unatengeneza prototype
Sawa ila hii speed kubwa sana kwa sasa kufikiwa itachukua miaka mingi sana. Kutoka dar mpaka bk ni almost 1500+, ina maana ndani ya dakika sitini inaenda bukoba na kurudi dar mara mbili kisha inarudi bukoba na kupack
 
Duuh hapo ikitokea ajali wote mnakuwa kama nyama za kusagwa
 
Mkuu unaweza kunisaidia ni namna gani speed kubwa inaweza kuathiri mwili wa binadamu ?

Nimeiskia hii kitu sio mara moja ikihusishwa na kanuni fulani za bwana eisten.
 
Mzee wameandika kabisa hapo chini simulation halafu unakuja kutuletea humu.

Umesoma shule gani mzee!?
Nimeweka screenshot hii ili usije ukafuta picha. Watu wote wakuone namna ulivyo mbumbumbu.
View attachment 2145272
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ uwe na staha kidogo mkuu, skunyingine atakosa confidence ya kuweka uzi humu.
 
Hii itakuwa ni imaginery tu. Ten times speed ya ndege si mchezo
 
Nadhan neno simulation ndo limekupoteza maboya aisee hiyo video ya YouTube pia iko simulated na amaekwambia kabisa video ni fiction๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mwidiwe bro
Hahahaa umepatia lazima atakuwa ni muha.
 
Mzee wameandika kabisa hapo chini simulation halafu unakuja kutuletea humu.

Umesoma shule gani mzee!?
Nimeweka screenshot hii ili usije ukafuta picha. Watu wote wakuone namna ulivyo mbumbumbu.
View attachment 2145272
Upo sahihi kwa kuona hilo. Alitaka kutulisha mitango pori sisi wenye akili kubwa kumzidi yeye!!!

Hana tofauti na mijamii fulani hivi humu jamvjni inayoleta uchambuzi wa vita ya Ukraine kwa kulisha jamvi ubabaishaji wa uchambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ