Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vwry intereating mkuu,nimefaidika na kitu hapa.Chukulia mfano huu, mtu anayeendesha pikipiki at 200 km/hr na anayeendesha gari lililofungwa vioo at 200 km/hr, zote constant speed.
Huyu aliye ndani ya gari yuko ndani ya enclosed cavity wakati huyu wa pikipiki yeye hayupo ndani ya enclosed cavity bali yupo in direct contact with surrounding air.
Hii speed ya 200 km/hr inatosha kumdhuru huyu mwendesha pikipiki sababu ya bombardment of air particles kwenye mwili wake.
Ila huyu aliye ndani ya gari hata atembee 1000km/hr hatopata madhara subject to design integrity ya hilo gari.
Hiyo factor ya pili nimeiongezea kama Common sense assumption na haina effect kwenye discussion sababu train ni enclosed cavity.
Kiukweli wajapani naweza sema ni watu wa dunia nyengine kuanzia maisha yao mpaka teknolojia zao.
Sisi ndio tunafikiria kuleta SGR wao wanafikilia kutengeneza treni itakayo weza kufika kwa mda mfupi.
Spidi ya treni ni 7600km/h na unaweza kufanya kazi dar es salaam ukaishi singida.
Kilicho ni furahisha kuhusu hizi treni jinsi miundo mbinu yake na mifumo ya teknolojia.
Kama nchi yetu ingekuwa na uwezo wa kufanya haya basi tusingejikita sana na ndege za ndani na kuachia kampuni binafsi
View attachment 2145269
Mzee hakuna train duniani itaweza kukimbia kwa speed 7600/hour. Wala km 823 kwa dakika kumi....u must be dreaming or confusingKiukweli wajapani naweza sema ni watu wa dunia nyengine kuanzia maisha yao mpaka teknolojia zao.
Sisi ndio tunafikiria kuleta SGR wao wanafikilia kutengeneza treni itakayo weza kufika kwa mda mfupi.
Spidi ya treni ni 7600km/h na unaweza kufanya kazi dar es salaam ukaishi singida.
Kilicho ni furahisha kuhusu hizi treni jinsi miundo mbinu yake na mifumo ya teknolojia.
Kama nchi yetu ingekuwa na uwezo wa kufanya haya basi tusingejikita sana na ndege za ndani na kuachia kampuni binafsi
View attachment 2145269
Kwa Japan inawezekana, ingawa hapa chumvi inaongezwa sana. Mimi nilikuwa Japan mwaka1992. (toka wakati huo mpaka Leo ni muda mrefu bila shaka maendeleo makubwa yamashafanyika). Wakati ule super express train(bullet train) ilikuwa inatumia about 3hrs toka Tokyo mpaka Osaka, ambapo ni mbali Kama km. 400 hivi (sikumbuki vizuri). Niliacha wanadevelop maglev train ambayo ni ya kasi zaidi. Hii ikianza kutembea, ikishika kasi inanyanyuka, gurudumu la treni haligusanni na reli. Wakati wa kusimama inapunguza spidi inashuka tena inagusa reli. Hii inasaidia kupunguza msuguano na joto kwenye vyuma, hivyo kusaidia kuongeza kasi. Ila hiyo kasi ya km. 800 kwa dk. 10 tu nina shaka.So unaweza kuishi Mbeya na ukawahi ofisini Dar saa mbili asubuhi na kurudi Mbeya jioni baada ya kazi.
Fake newsKiukweli wajapani naweza sema ni watu wa dunia nyengine kuanzia maisha yao mpaka teknolojia zao.