Treni za Japan zinaweza kutembea kilomita 823 kwa dakika 10 tu

Mkuu hiyo ni speed ya ndege, tena hizi zenye Jet Engines. Maana hata ndege za Propeller hazijaifikia hiyo speed....Nenda kasome tena huko kwenye source yako.
At hizi current fighter jets hazifiki hii spidi ya 7600kph ,

OP ana upuuzi mwingi sana kichwani
 
Sasa hayo mambo ya hyper loop ndio unampoteza kabisa OP . Kashindwa kuelewa imaginary/simulation hayo ya hyper loop ataweza kweli?
 
Speed ya 600km/h tu inatosha kufanya kazi dar na kukaa singida.
 
Mkuu si watuletee hiyo ya 600km/h. Maana ikiwepo hiyo hata mikoa ya Kigoma itafunguka sana. Hakutakuwa na haja ya kubanana Dar es salaam.
Dar yenyewe usafiri ni shida pamoja na mafly over, katika masaa nane ya kazi, masaa sita yanaishia barabarani. Ukimanage vizuri masaa 8 ya kazi, unajipunja masaa 6 ya kupumnzika. Hapo tutegemee maendeleo kutoka wapi, ikiwa vichwa haviwezi kufikiria vitu kwa usahihi.
 
kwahiyo at contant speed ya 7600 hakuna tofauti na at rest?
Hakuna kitu kinachoitwa "at rest" , speed is relative sababu hakuna kitu kilicho"at rest". Hata Dunia haipo at rest.

Kwa taarifa yako speed ya 7600 km/hour is nothing to human beings as long as acceleration is zero na the cavity is enclosed(no bombardment of air particles) sababu our current net speed ni kubwa kuliko hiyo.

Hata constant speed ya 1000,000 km/hr na zaidi haina effect kwa viumbe as long as hizo condition mbili hapo juu zimeHold..

Technical challenge ni kwamba ili ufikie speed hiyo "from rest" ni lazima uAccelerate na hiyo acceleration ikiwa kubwa ndio inaua.
 
aaah mzee hiyo condiition ya enclosed mbona umeiongezea?? hiyo ndo nlikuwa nnasemea itafanya nyama zikimbie mifupa
 
aaah mzee hiyo condiition ya enclosed mbona umeiongezea?? hiyo ndo nlikuwa nnasemea itafanya nyama zikimbie mifupa
Chukulia mfano huu, mtu anayeendesha pikipiki at 200 km/hr na anayeendesha gari lililofungwa vioo at 200 km/hr, zote constant speed.

Huyu aliye ndani ya gari yuko ndani ya enclosed cavity wakati huyu wa pikipiki yeye hayupo ndani ya enclosed cavity bali yupo in direct contact with surrounding air.

Hii speed ya 200 km/hr inatosha kumdhuru huyu mwendesha pikipiki sababu ya bombardment of air particles kwenye mwili wake.

Ila huyu aliye ndani ya gari hata atembee 1000km/hr hatopata madhara subject to design integrity ya hilo gari.

Hiyo factor ya pili nimeiongezea kama Common sense assumption na haina effect kwenye discussion sababu train ni enclosed cavity.
 
Mkuu hiyo train inayokimbia hiyo speed inatumia tech ya maglev yani train inakuwa kama inaelea kwenye reli yake. Ni expensive sana kutengeneza ndio maana ziko japan, china na South Korea tu.
 
So unaweza kuishi Mbeya na ukawahi ofisini Dar saa mbili asubuhi na kurudi Mbeya jioni baada ya kazi.
Mamaa sio mbeya ni Angola kabisa maana mbeya ni 750+km yenyewe wanasema 7500km/h [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Mdau, hiyo ni supersonic karibu kuwa sawa na hypersonic speed, haitakiwi kabisa kwa vyombo vya abiria! Huo ni umbali wa kutoka Addis Ababa hadi South Africa kwa Boeing kubwa inayotumia 1000kph(badili mwenyewe kuwa NMile) na hiyo ni zile ndege kubwa itatumia siyo chini ya masaa 6 kufika huo umbali. By the way 7600/3600 hiyo ni karibu Mach 2.2 ambayo ni karibu na speed ya ndege vita ya Stealthy Technology chapa S-57(Sukhoi ya Russia) au F-35( Raptor ya US Air Force pia ikitumia Stealthy Technology)!
Kwa sasa sidhani kama kuna passenger transpot mode inayofikia hata Mach 1.2 sidhani!
 
kwahyo kwenye treni hamna air particles?
 
Wastan wa speed ya train inatakiwa iwe ngapi 600km kwa hrs ni sahih
Mfno Arusha dar uende kwa lisaa
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii fairytale
 
Hiyo NI speed ya roketi zinazoenda anga za mbali mzee. Ata risasi haina speed hiyo mzee
 
Mkuu hiyo train inayokimbia hiyo speed inatumia tech ya maglev yani train inakuwa kama inaelea kwenye reli yake. Ni expensive sana kutengeneza ndio maana ziko china na japan, china na South Korea tu.
Tunaweza mkuu, kama mabarabara tunajenga na kubomoa karibu kila baada ya miaka miwili mitatu, kwann tusitandike reli hizo pekee tukatanua na maeneo mengine yakaendelea kama Ngage na Orkasementi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…