Treni za Japan zinaweza kutembea kilomita 823 kwa dakika 10 tu

Vwry intereating mkuu,nimefaidika na kitu hapa.

Ila kuna kitu nahitaji kusomeshwa zaidi.

Kivipi air particle zilete athari katika mwili wa mtu wa kwenye pikipiki mkuu ?

Au inabidi tufikirie zaidi katika cellular level,hebu nifafanulie mkuu nipate faida zaidi.
 

Nasubiri mabeberu weusi a.k.a wazee wa kuletewa vyandarua vya msaada waje wakupe mabomu ya nguvu, "teknolojia wamechukua kwa wazungu"😁

Japan kwenye teknolojia is another level, kwa magari is on πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kwenye treni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ mapikipiki, vifaa vya electronics n.kπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯


Nawasubiri mabeberu weusi muje hapa musifie misaada ya NETI na chanjo za uviko πŸ‹οΈβ€β™€οΈ
 
Mzee hakuna train duniani itaweza kukimbia kwa speed 7600/hour. Wala km 823 kwa dakika kumi....u must be dreaming or confusing
 
So unaweza kuishi Mbeya na ukawahi ofisini Dar saa mbili asubuhi na kurudi Mbeya jioni baada ya kazi.
Kwa Japan inawezekana, ingawa hapa chumvi inaongezwa sana. Mimi nilikuwa Japan mwaka1992. (toka wakati huo mpaka Leo ni muda mrefu bila shaka maendeleo makubwa yamashafanyika). Wakati ule super express train(bullet train) ilikuwa inatumia about 3hrs toka Tokyo mpaka Osaka, ambapo ni mbali Kama km. 400 hivi (sikumbuki vizuri). Niliacha wanadevelop maglev train ambayo ni ya kasi zaidi. Hii ikianza kutembea, ikishika kasi inanyanyuka, gurudumu la treni haligusanni na reli. Wakati wa kusimama inapunguza spidi inashuka tena inagusa reli. Hii inasaidia kupunguza msuguano na joto kwenye vyuma, hivyo kusaidia kuongeza kasi. Ila hiyo kasi ya km. 800 kwa dk. 10 tu nina shaka.
 
Mleta mada hajui kingreza ndiyo sababu ya msingi nipo tayari kukosolewa
 
Fake news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…