Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
- Thread starter
-
- #101
mje tu ila hakuna siku ambae mtakuwa na sisi ama mbele yetu...even in 100yrswatz tunakuja juu saivi uongo mbaya hadi wakenya tumeanza kulingishana maendeleo, kenya mko mbele kwa maendeleo sikatai, ila kwa siku za karibuni tumekuwa tukiwakimbiza ille mbaaaaaaaaaaaya.
asante kakaWivu tu! Hongereni WAKENYA.
Ndugu zangu wana wivu, hongereni kwa kututangulia. Siye tuko kwenye mipango bado, insalah tutafikakwasababu mkona zenu za bullet trains??? acha upumbavu braza
DuhHizo ni treni au Viberenge?
Mko vizuri aiseeemore pictures from project
nairobi south station...the first ever of its kind in East and central africa
Ha ha ha sasa amekuunga mkono unamnanga tena? Kuwa fair buanaenyewe bratha ungejua bullet trains ni nini, hungalijiaibisha apa....kuna tofauti kati ya bullet proof na bullet trains...😀😀😀😀sikulaumu lakini nalaumu education system yenu ya kishamba
😀😀😀Ha ha ha sasa amekuunga mkono unamnanga tena? Kuwa fair buana
Mbona hazina tofauti na hizi za kwetu!!
Hizo ni treni au Viberenge?
Hivyo vyuma chakavu vimepigwa rangi ya mafuta then mseme ni za kisasa? au ni za kubebea mbolea?
Nimependa sana the way unavyowasilisha picha zako.. Project ya ukweli kwenu. Ngoja na sisi tusubiri ni lini tutafikia level hizo
zipo sawa pia hongereni watanzania
Mbona hazina tofauti na hizi za kwetu!!
Aih! Leo ndo nimesikia Fauzia ukitaja haya ya Hongera, mbona imekuchukua mda? Lazima tu utapapenda KenyaHongera sana Wakenya.