game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Kwani huwezi kusifia Kenya bila kutuhusisha watz na maneno yako hasi?Yeye kama hapendi mambo mazuri ya jirani zetu Kenya ni yeye lakini asitulazimishe watanzania wote tuwachukie Ndugu zetu wakenya