Treni za SGR kuongezwa maana wasafiri wamepitiliza

Treni za SGR kuongezwa maana wasafiri wamepitiliza

Mwingine anadhani 10,000,000 Tanzanian shillings....
maybe they think it is TSH...lol! these clowns! they think kenyans go to the shop to buy toilet paper with 1000...😀😀😀😀
 
BTW, msijifanye sana watz...hio stadium ni nzuri ila bado sana ukilinganisha na stadium za kisasa...bado sana!!! imeshinda za kenya ila bado ni stadium za hali ya chini kabisa duniani...stadium afrika ziko SA, Tunisia, Cameroon, Angola...etc....msituringie na huo uwanja wa kuuzia mbuzi na kuku...
 
Wakenya wako vizuri sana kwenye Customer service
Hawa wenzetu hata awe yuko hospital atakujibu jibu ambalo hata ugonjwa utaisha hapo hapo
 
Wakenya wako vizuri sana kwenye Customer service
Hawa wenzetu hata awe yuko hospital atakujibu jibu ambalo hata ugonjwa utaisha hapo hapo

Ushawahi kuhudumiwa nao nchini mwao? Nina uhakika kama umewahi huwezi kuongea hivyo.
 
Yeye kama hapendi mambo mazuri ya jirani zetu Kenya ni yeye lakini asitulazimishe watanzania wote tuwachukie Ndugu zetu wakenya
True! Kwa hili la ujenzi wa reli ya kisasa wenzetu wakenya wanastahili pongezi zao. Sisi tuna mengi ya kujifunza ili tutakapojenga yetu, kama kweli itajengwa, tuijenge ikiwa ni bora mara dufu zaidi kuliko hii ya Kenya.
 
Mkuu naona uko team Raila kabisa, nipo nipo sana, kidogo busy lakini nazifwatilia mada. Huonekani sana hizi pande siku hizi

Kaka I'm starting getting old. Mara nyingi naachia vijana wajadiliane.

Ahaaa haaa haaa mkulu ukiwa timu Magufuli lazima uwe timu Raila.
 
Back
Top Bottom