Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Itafika wakati nitaweza kushuka uwanja wa ndege wa Nyerere, nikapita barabara ya Nyerere, nikavuka daraja la Nyerere, na kwenda chuo cha Nyerere kisha nikaenda ukumbi wa mikutano wa Nyerere, nikapanda treni la Nyerere mpaka Mwanza, nikapita barabara ya Nyerere, nikafanya shughuli zangu na kumaliza, nikapanda ndege mpaka bwawa la Nyerere, nikaenda kupumzika mbuga ya Nyerere.