Itakuwa good ila wananchi express 🤔Wananchi Express, Tanzania One, Dodoma Express etc. sound better for me.
toa mbadala, unataka nini kifanyikeHii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa
View attachment 3056852View attachment 3056853
HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA WALA HALITOSAIDIA CHOCHOTE
Majina ya viongozi yabaki kuwa mali ya familia zao kwa faida ya koo zao
Panapo uzima CCM ikiondoka madarakani yatafutwa yote. Acha waite kila kitu majina yao.Duh!Kwa hiyo majina yao kwenye kumbi,barabara,vyuo,viwanja na majengo hayatoshi tu?Tunapoelekea wataanza kulazimisha watoto wanaozaliwa wapewe majina yao.
Tuna milima maziwa mito hata migodi kwanini tusitumie majihayo mfano Kilimanjaro shelui Victoria Serengeti selu nk nk mbona itapwndeza zaidi.Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa
View attachment 3056852View attachment 3056853
HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA WALA HALITOSAIDIA CHOCHOTE
Majina ya viongozi yabaki kuwa mali ya familia zao kwa faida ya koo zao
Ondo upuuzi wako hapa mkuu.Ikiwapendeza muweke na Nyerere Express, Kikwete Express
Naunga mkono hoja tutafuta kwa spray za rangi watajua hawajui.Hata wakifanikiwa kuyaweka tutayaondoa
Wanaona marehemu wanafaidi sana kuandikwa majina yao sehemu mbalimbali.Watu wengine kujidhalilisha hawajui yaani anatangaza hadharani kabisaa sasa majina ya viongozi wa nini kwa mfano
Unataka sisi wana lunyasi tusipande?Wananchi Express, Tanzania One, Dodoma Express etc. sound better for me.
Exactly na hiyo ni wale wanaojifanya wasomiAkili za mtu mweusi ni kutafuta sifa kwa jasho la wananchi.
Mie nakubali majina yote ila samia express hili hakuna kabisa treni ise geuka chura kiziwiWanaona marehemu wanafaidi sana kuandikwa majina yao sehemu mbalimbali.
Ukiona mtu anamuonea wivu hata marehemu ujue huyo hata kuwa kiongozi hafai.
Wasubili itafika zamu yao wataandikwa.
Nyerere ni Baba wa Taifa, na Kikwete ndio mwanZilishi wa project ya SGR Tanzania, upuuzi hapa ni upi ? Twende na facts tafadhali.Ondo upuuzi wako hapa mkuu.
Kunawatu hawastahili majinayako kukumbukwa kabisa na yanatia kinyaasana.
Wanataka kule vijijini linakopita wajue ndiye mtekelezaji.Mie nakubali majina yote ila samia express hili hakuna kabisa treni ise geuka chura kiziwi
Usipotoshe, reli ina kiwango cha tani zinazotakiwa kupita juu yake bila kujali ni watu au mizigo.Kupitisha mizigo kwenye rail inayopitisha train ya abiria ni kuua hiyo reli haraka sana,gharama za matengenezo ya reli itakuwa kubwa sana,na reli ikishaanza kuharibika wajuwe kuwa hata speed ya train itakuwa ndogo kwa kukosa uimara.Pia kutakuwa na maswala ya kusubiria kupishana hili nalo litasababisha kuchelewa kwa hizi train kila wakati......