kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Mfungaji bora na mchezaji tishio wa TP MAZEMBA, Tresor Mputu amesema Simba ni timu tishio katika ukanda wa Afrika, hivyo watacheza kwa tahadhari kubwa katika mchezo wao kesho (Jumamosi).
MPUTU, amesema; "TUMEKUJA KUSHINDA HAPA UGENINI ILI KUPATA MATOKEO YATAKAYOKUWA NA FAIDA KWETU NA KUTURAHISISHIA KATIKA MCHEZO WA MARUDIANO NYUMBANI (DRC)"
#Habari zaidi soma kiambatanisho hapo chini
MWANANCHI