Tresor Mputu: Simba tishio Afrika

Tresor Mputu: Simba tishio Afrika

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677
Mfungaji bora na mchezaji tishio wa TP MAZEMBA, Tresor Mputu amesema Simba ni timu tishio katika ukanda wa Afrika, hivyo watacheza kwa tahadhari kubwa katika mchezo wao kesho (Jumamosi).

MPUTU, amesema; "TUMEKUJA KUSHINDA HAPA UGENINI ILI KUPATA MATOKEO YATAKAYOKUWA NA FAIDA KWETU NA KUTURAHISISHIA KATIKA MCHEZO WA MARUDIANO NYUMBANI (DRC)"

#Habari zaidi soma kiambatanisho hapo chini

MWANANCHI
 
Attachments

  • IMG_20190405_082353.jpg
    IMG_20190405_082353.jpg
    201.4 KB · Views: 23
Huyu jamaa si aliondokaga mazembe ,amerudi tena

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
...zaidi ingia PlayStore andika QR-CODE kisha download, halafu SCAN hapo juu kuangalia video ya Mputu
 
Huyu jamaa si aliondokaga mazembe ,amerudi tena

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ni hatari sana, si wakuacha peke yake
 
.....anapenda sana kujiangusha kwenye maeneo ya penalti boki
 
Attachments

  • TRESOR MPUTU L'HOMME DU DERBY LUSHOIS LE DIABLE DE RETOUR ( 480 X 854 )ya .mp4
    8.5 MB
  • Tresor Mputu Yupo Fiti Kucheza_ , Thamani Ya mazembe Taifa _Simba Vs Tp Mazembe - - darasasspo...mp4
    17.5 MB
Huyu jamaa si aliondokaga mazembe ,amerudi tena

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Anapenda kutukuzwa(ufalme) alikuwa anamzingua sana Samatta kipindi yupo Tp mazembe aliona atam outshine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom