Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo
Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected kwenye soko la Marekani
Kushirikiana na msanii kama huyu hakuletagi matokeo makubwa kwasababu hana thamani kubwa
Msanii wa kike mwenye thamani kubwa Marekani ni Tyler Swift, huku wa kiume akiwa Jay Z, huyu Tyler Swift thamani yake haijashuka, leo kama jana yupo vilevile lakini wenzake wote wako hoi, kwa upande wa wanaume Jay Z peke yake ndiye mwenye thamani kubwa huku wengine kama Kanye, Justin Bieber, Lil Wayne nakadhalika wakiwa chali
Namna nzuri ya Diamond Platnumz kukuza career yake ashirikiane na Tyler Swift, Card B, Nicki Minaj, Beyonce Jay Z